Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Angesema hivyo kuhusu upinzani angeambiwa anachanganya dini na siasa na kufutiwa usajili kanisa lake
 
Najua kuna watu wanasubiri mawaidha ya Dr. Munga, shoo na wengineo wa aina hiyo.
 
Huyu nabii wakina yezebeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tuache ushabiki wa vyama hili la kura tumpe Magufuli limetoka wapi? USITUPANGIE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anawa brainwash waumini, ana mungu wake anaitwa mungu geodavid, redio yake masaa yote ni kutangaza mpesa wafungue mikono ya nabii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maelezo angetoa shekhe mngesema kachanganya siasa na dini ila kasema mbuzi katoliki mwenzenu...mmevaa miwani ya mbao walichofanya sahv mashekhe siasa tumewachia nyny..mnazingua tu mara waraka wa pasaka hujakaa sawa mara sijui TEC sijui mnawashwa na nini?
 
Hivi vyeo vya unabii wanapewa na nani, na katika mazingira gani. Engineer, Doctors, scientists nk.., huwa kabla hawaja pewa shahada hizo lazima wakasome vyuo vinavyojulikana, watasoma masomo kwa muda maalumu, na watafanya mitihani, na kufuatana na ushindi wao ndivyo watakavyo pata shahada zao. Christian theologians wanatakiwa kupitia njia muhimu zilzowekwa na makanisa, lakini kuna hawa matapeli, na 10% BANDITS, inahitajika watu wakawa macho, na kutowatukuza. Dini hainunuliwi kwa pesa, mungu ni mtoaji sio muombaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…