Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

VIongozi wa Dini wanatakiwa kuwa mfano kwa uvumlivu na utii wa sheria maana maandiko yana sisitiza kutii mamlaka.

Hapo umenena mkuu. Hakuna cha kusema kuwa ninamsikiliza Mungu!! kila mtu aweza sema hivyo. Hapa duniani Mungu kaweka viongozi -na hata mahakama Mungu anaijua na kuiheshimu.
 

Yaani watu kama hawa wanalishwa sumu sana na 'manabii' kiasi kwamba hawaambiliki chochote. Kuna m1 tunafanya nae kazi. Yaani hata haambiliki hata pale penye kuhitaji macho 2 kupambanua atabisha. So sikushangai mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

I see... You don't know what i knw, you don't feel what i feel and you dont understand what i understand for his ways/Thoughts (God) are not your ways/thougths, his ways/thoughts are too high far above from principalities and powers for human mind to comprehend and apprehend. These things come by grace that's why you do not understand them. Not everyone will receive salvation it is by the grace of God.
 

kwahiyo gadaf na sadam walikufa kwa ajili ya kuzuia injili?.
NYIE WAKRISTO HAMFAGI?.
Umeanza kwa maelezo mazuri unamaliza vibaya ,acha udini mwigira.
 
Tatizo la Waumini wa Mwingira wanataka kujifanya hawajui lugha ya Taifa !!!
Wewe unajibu kwa lugha ya kigeni wakati swali ni kwa lugha ya kiswahili??
 
jana niliangalia mechi ya manchester utd vs newcastle utd,dah ilikuwa nzuri sana,hasa dakika za mwishoni.beki wa manutd alîwasaidia wapinzan kuwafungia goli.ngoja niangalie na hapa pia,cjui patakuwa na happy ending au la.
 

Umepeleka fungu la kumi? Mwisho wa mwezi huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Do you have the file for the case? any evidence please forward it to the court or open your case. Nimesema kwamba wamefanya usafi mchana mbona hamkuja? Pia ni choice ya mwenye eneo kufanya usafi muda anao amua yeye you have no right to ask or judge anybody about what belongs to them. Nimesema hata sasa wapo pale nendeni mkawaone.


Suala la Kubaka Mke Wa Mbuya lilikuwa hivi hivi na bado anajiita Nabii?? Ni Nabii gani Mbakaji??

Whether ni kweli au si kweli ni yeye na Mungu wake! I don't care what happened but I care for what is happening and what is going to happen. Jambo hili halibatilishi ukweli kwamba Yesu ni bwana na kwamba Wokovu ndio njia pekee ya kumuona Mungu.

Unamkumbuka Mfalme Daudi? Unakumbuka alifanya nini kwa mke wa Mtu? Mwisho wa siku Mungu alimhesabia kuwa ni mwenye haki na leo ni mtakatifu. Zaburi tunayo soma leo aliandika Daudi. Sauli naye alifanya nini mwishowe aliishia kuwa Mtume Paulo. Ibrahim naye alizaa na mjakazi wake lakini ndio Baba yetu wa Imani, Mussa naye? kasome vizuri.... Mungu tunaemtumikia ni Mungu wa rehema, Mungu anayesamehe dhambi anayeangalia future na sio past mistakes. It is only the devil and ignorant people that judge other people by what people say, what they did in the past and not what they will become in the future Mungu anaangalia ubaadaye (future) mtu atakuwa nani kwa utukufu wake. Kila mmoja wetu Mungu amemkusudia kitu fulani katika maisha yake, ninapokosea leo au mtumishi ambaye ni mwanadamu kama wengine anapokosea haimaanishi kwamba ndio hafai tena kutimiza kusudi la kuumbwa kwake ambapo kwalo atahukumiwa siku ile. Biblia insema ni Bwana Yesu pekee ndiye aliye kuwa msafi hakutenda dhambi katika maisha yake yote hapa duniani. Hivi wewe kama Mungu angekuwa katili ungekuwa hapo ulipo leo? God applies exception to the rules as we do in Laws. Mambo ya Mungu ni ya ajabu na hayaelezeki. Haiko katika uwezo wetu kuhukumu mtu yeyote, hukumu ni ya Mungu ndivyo maandiko yanavyosema... Hivyo tumrudie Mungu na kutubu dhambi ili atusamehe haijalishi ulifanya nini na nani wapi lini? Mungu anaangalia wewe utakuwa nani baada ya kukusamehe. Mungu anawapenda watu wake na anachukia dhambi. Siku zote Mungu amefanya kila jambo kwa kusudi lake we have no right to question God's actions above all he will remain to be God eventually. Pray and ask him all the controversy.
 
Tatizo la Waumini wa Mwingira wanataka kujifanya hawajui lugha ya Taifa !!!
Wewe unajibu kwa lugha ya kigeni wakati swali ni kwa lugha ya kiswahili??

Nadhani wewe ni mgeni hujui kwamba tuna lugha mbili hapa tanzania? kuna mambo kiswahili chake hakikai vizuri, ndio maana naweka kiingereza.
 
kwahiyo gadaf na sadam walikufa kwa ajili ya kuzuia injili?.
NYIE WAKRISTO HAMFAGI?.
Umeanza kwa maelezo mazuri unamaliza vibaya ,acha udini mwigira.

Tatizo watu wanapenda sana kuambiwa mambo mazuri yanayo tia moyo. Soma hitoria itakuelezea vizuri nini kilitokea kwa watu wote walio jaribu kuzuia injili mahali popote. Injli ni ya Mungu huwezi kumzuia kazi ya Mungu. Mimi sio mdini na wala sina dini Mungu hana dini wala Yesu hana dini. Nina Imani katika Kristo Yesu na nimempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu. Period.
 
Umepeleka fungu la kumi? Mwisho wa mwezi huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Fungu la kumi ni agizo la Mungu mwenyewe. Napeleka kila ninapopata sio mwisho wa mwezi tu.
 

Kuna kitu Bwana Yesu alisema ninyi si wa ulimwengu huu, ulimwengu hauwatambui. kimsingi ulimwengu umejawa na yule mwovu media and everything viko covered na shetani. ni rahis watu kutetea uovu kuliko kutetea haki. Reason soma signature yangu hapo...So obvious, the problem of being controlled by the lame and the blind...90% ya habari za media juu ya watumishi wa Mungu ni uongo. I see things in the natural, what i see is different from what is reported in media.
 
Hilo halihusiani. Unajuaje kama padri alikuwa anachukua mke wa mtu? Msiwe wepesi wa kuingiza udini kwenye issue ambayo hujapata ushahidi

.. Weeeeeeeeeee !!! Padre wa Katoliki? huwa haruhusiwi kufanya mambo hayo .... hata kuoa haruhusiwi....
 
mnapiga kelele JF SABABU KILA MTU ANAWEZA KUANDIKA
NA YULE PADRE WETU MLIMPIGA RISASI MNAFIKIRI WAJINGA KUKA KIMYA
KILCHAPO CHAKE TUNAANZA NA HIKO KIWANDA CHENU UCHWARA
 
Na kuanzia 2013 tutahakikisha mnakula akabenzi kila sehemu mtakapokuwa hata kwenye mahotel tutawaandikia nyama ya swaala mjue sisi ni nani jamani unampiga mwenzio risasi kisa analaani majini yaliokuzunguka kweliiiiiiiii kweliiiiiiiiiiiiiiii embu nipige mimi muone
 

Attachments

  • akabenzi.jpg
    5.5 KB · Views: 121

kumbe pdidy ni kafiri na ana tabia kama huyo mdudu !
Huyo mdudu bwana yesu aliyatowa mapepo kisha akayasukumia huyo mdudu, ndo maana kanisani kuna ibada ya kutimua mapepo kutoka kwa wala huyo mdudu !
 
Tusichezee jina la Nabii kabisa!! Mwingira anastahili kuitwa Pilato, Lucifer mkuu wa mashetani wote!! Jambazi kubwa hili na uchawi wake wa kinageria!! Majuzi hapa baada ya kesi zake mahakama kuu aliamua kukimbilia Nigeria kuongeza kinga ya uchawi na amerudi kitu kama last week hivi!! Chawi kubwa hili.
 

Good answer" Big up Mtume na Nabii Mwingira,they have to know aliye ndani mwako ni mkuu
kuliko mkuu wa ulimwengu huu ebo!" keep it up"
 

can we say that mwingira and Nabii Musa A.S, are at per !?
 
ally akabenzi lazima tuzile sana mwaka 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…