Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..

mark21:8-many will come in my name claim,'IAM HE' and will mislead many.

Wengi watakuja kwa jina langu wakisema MIMI NDIYE na watawapoteza walio wengi.
 
I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..

Luke 21:8.he replied,DONT let anyone MISLEAD YOU,for many will come in my name claiming IAM THE MESSIAH and saying'THE TIME HAS COME,BUT DONT BELIAVE THEM.
 
Marekebisho, sio anayejiita bali ni Mtume na Nabii J.E. Mwingira. Ask God about this man.

Kuvamia. Hakuna uvamizi wowote bali lile eneo lote ni la Huduma la Efatha (Efatha Ministry). Mikataba ya kulinunua ipo na ilioneshwa kwenye vyombo vya habari. Ni eneo la Huduma hivyo ni maamuzi ya huduma kufanya chochote wakati wowote. Hakuna mwislamu yeyote mwenye hati ya kile kiwanja. Simple question hivi walivyo na kelele wangekuwa na evidence mkononi kunge kalika DSM?

Kuchoma moto.
Hapana hakuna moto uliochomwa bali ni usafi na kuweka tayari eneo kwa ajili ya upanuzi wa kanisa ili injili isonge mbele. Pia jambo hili halikufanywa usiku bali ni mchana kweupe siku ya Christmass pamefanyiwa usafi hata sasa vijana wanaendelea na usafi unaweza kwenda kuwaona ukitaka.

Naona tu ni jitihada tu za shetani za kutafuta namna ya kujiinua against the power of Gospel. Hakuna aliye jaribu kuzuia injili akashinda hata sikumoja wapi gadafi, wapi sadam wapi id amin na wengine wanafuata. Study history it will tell you. Ushauri...usiongelee au kuchangia jambo ambalo hulijui au huna uhakika nalo kwa sababu biblia inasema mwanadamu atakula matunda ya kinywa chake pia inasema mauti na uzima vi katika kinywa cha mtu. Hakuna neno ambalo mtu atasema likakosa baraka au laana kwa mtu huyo. Period

There is tendence that most people judge other people basing on perception of other people, This is really bad kwani imeandikwa usihukumu, maana ni kwa kipimo kilekile utakachotumia kitatumika kwako. Mfano hapa watu kufanya usafi kwenye eneo lao ni issue. Kumbuka kwamba ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
Masikini Huyu bado kafungwa!pole
 
Imeandikwa sio kila asemaye Bwana Bwana... atauona ufalme wa Mungu. pia imeandikwa patakuwepo na manabii wa uongo...muwachunguze. utamchunguza vipi nabii au mtumishi wa Mungu. Kwa akili na kusilikiliza watu wanaseman nini hutakaa uweze. ni kwa kuomba Mungu akuonyeshe na mungu ni mwaminifu atakuonyesha na yeyote atakaye hitaji atamfunulia.

Hiyo unayosema wewe ya kwamba Yesu ni Kristo imeandikwa wapi? tatizo wakristo wengi ni wavivu wa kusoma biblia kuna muda wa kupoteza lakini sio kufanya jitihada za kumtafuta Mungu. mambo ya Mungu yako very clear huhitaji mtu akuambie ila Mungu ndiye asemaye yote kwa watu wake. Wapo wanaoamini Mungu haongei aliongeaga zamani tu. He is real he can answer all questions. Badala ya kusikia sikia hebu tumia muda wako mtafute Mungu ajifunue kwako. Mungu akusaidie...
Wewe na huyo mwingira Wako mnamuomba mungu na wala siyo Mungu!
 
Masikini Huyu bado kafungwa!pole
Huyo amekata kweli hivyo Mungu kaachilia nguvu ya upotevu!!!
Na kama hakuna msaada atatupwa kwenye hukumu ya waliopotea!!!

Tafuta kitabu cha Mwingira mwenyewe anasema mungu alimtokea wakati anafanya zinaa na kahaba!!
Baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akinywa Pombe na kutapika tapika!!!
Haya ni maelezo ya anayejiita Nabii Mwingira katika kitabu chake cha wito wangu tafuteni msome muone uchafu huu
 
Mkuu siwezi hata kupoteza muda kusoma Huo u t u.....ili mradi ukweli na ujue na Mungu aw ukweli namtambua basi yatosha kabisa yasije ni pata tu maji... Yaliyowafunga wengine...
 
Tusichezee jina la Nabii kabisa!! Mwingira anastahili kuitwa Pilato, Lucifer mkuu wa mashetani wote!! Jambazi kubwa hili na uchawi wake wa kinageria!! Majuzi hapa baada ya kesi zake mahakama kuu aliamua kukimbilia Nigeria kuongeza kinga ya uchawi na amerudi kitu kama last week hivi!! Chawi kubwa hili.

Ulimsindikiza huko Nigeria?
 
I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
Mwingira mwenyewe katika kitabu chake wa wito anaeleza kuwa mungu wake alimwita wakati anafanya zinaa, na baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akiwa anakunywa pombe na kutapika !!!
Hakuna mahali popote ambapo ame andika kuwa aliyubu dhambi ya zinaa!!!
Halafu ni matusi makubwa mtu ametoka katika zinaa halafu anaombea watu???
Tunachoweza kuona ni roho ya zinaa ambayo imo ndani ya Mwingira hadi leo anabaka wake za watu na waumini
 
Kumjua mtumishi wa mungu ni ufahamu. Sio kila mtu anaweza akamjua mtumishi sahihi wa Mungu. unahitaji kusoma Biblia kikamilifu upate picha. Kasome vizuri wewe ndio uje kwangu things are very clear.
Watu wmesoms sana bible na kupata Phd na kukuzidi wewe lakini wameishia kuhalisha Ushoga!!!

Ushoga umetoka kwa waliotunga bible na sasa unasambazwa kwa nguvu kwa wasiojua kusoma!!!
Suala la Uchafu wa Mwingira hauhitaji mtu kwenda kusoma bible na kutuchanganya na lugha za Waingereza walioleta Ushoga !!!
Nimesema ufuka wa Mwingira unatisha hatuwezi kuweka humu jf.!!!
 
Nadhani wewe ni mropokaji. Una akili fupi za kutokufikiria. Mambo ya Mwingira na hicho kiwanda si ya wakristu na waislamu, bali ni yao binafsi. Ni ujinga kushabikia vitu kama hivi kutumia mwamvuli wa dini. Hao ni watu wanaojuana. Ficha upumbavu wako kwa kutokushabikia udini.

Sio Hilo tu! Habari hii ni ya zamani, na Kama ulivyosema haihusiani na dini hizi mbili. Kiwanda kilichovunjwa awali eneo Hilo na Mwingira ni Simon Engineering kilichokuwa kinamilikiwa na Richard Moshi, mkristu, kiwanda kikubwa - machine tools manufactureres. Sijali nitukane watu wa udini hawa? Tusi Dogo tu , pumbfu!
 
Kama kweki kavunja na bado kuna amri ya mahakama hii ni jeuri anayo onesha kwamba yeye haguswi
Hiki kiwanda kinatumika kuchapa vitabu vya dini ya kiislam
Waislam tuna wajib wa kuondoa munkar hii
Ijumaa ijayo ya kesho tukasafishe baada ya hapo tutajua ubabe wake uko wapi
Na we nye mamlaka watatenda haki
Tumsaidoie ndugu yetu tukasafishe kiwanja chote

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mwingira anapepo linalomupa jeuri !!! Mapepo mengi huwa yanamfanya mtu awe na jeuri
 
Huyo amekata kweli hivyo Mungu kaachilia nguvu ya upotevu!!!
Na kama hakuna msaada atatupwa kwenye hukumu ya waliopotea!!!

Tafuta kitabu cha Mwingira mwenyewe anasema mungu alimtokea wakati anafanya zinaa na kahaba!!
Baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akinywa Pombe na kutapika tapika!!!
Haya ni maelezo ya anayejiita Nabii Mwingira katika kitabu chake cha wito wangu tafuteni msome muone uchafu huu

Mhhh mkuu nipe title ya hicho kitabu.. yaani mkuu katokewa na mungu while ana do na kahaba
 
Mi mbona nashindwa kuhusianisha kati ya tarehe tajwa hapo kwenye habari na ile iliyopo ndani ya habari.Kwani hii habari ya lini?

Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Zain Shaarifu Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.

Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .

Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!

Tuesday, January 31, 2012

MTUME NA NABII MWINGIRA ATIWA MBARONI DAR

KIONGOZI wa Kanisa la Efatha, Nabii na Mtume Josephat Mwingira amekamatwa na polisi katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar es Salaam, akituhumiwa kuharibu mali za mfanyabiashara, Zain Sharifu.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, ACP Charles Kenyela, Mwingira alikamatwa wiki iliyopita na kushikiliwa kituoni hapo.
Hata hivyo, Kenyela alisema, Mwingira alidhamiwa baada ya kuhojiwa kuhusiana na tuhuma za kuvunja na kuharibu mali ndani ya Kiwanda cha Uchapaji cha Afroplus kinachomilikiwa na mlalamikaji.

“Tumemkamata kiongozi huyo ili atoe ufafanuzi wa kina baada ya kupokea malalamiko hayo, “ alisema Kenyela alipozungumza na mwandishi wetu wiki iliyopita ofisini kwake.
Kenyela alisema, mashtaka hayo yalifikishwa polisi na Zain,
Januari 8, mwaka huu, akidai kwamba walinzi binafsi wa kiongozi huyo wa kanisa, walivamia kiwandani kwake na kuharibu mali baada ya kufanya fujo.

Aliongeza kuwa polisi baada ya kupata taarifa hizo, walikwenda eneo la tukio kushuhudia na kukuta mali zilizoharibiwa, hivyo walimtaka Mwingira kufika polisi ili atoe ufafanuzi lakini alikaidi ndipo polisi ikatumia nguvu kumkamata.

“Alipoulizwa Mwingira kuhusu madai hayo alijitetea uwa eneo hilo ni mali halali ya Efatha tangu Juni 17, 2005, baada ya kulinunua kutoka kwa mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Mangula, hivyo anasubiri tamko la Mahakama ya Ardhi Tanzania ambako shitaka limepelekwa,” alisema.
Baada ya Mwingira kuhojiwa kituoni hapo, Kenyela aliwakutanisha na Zain ambaye ni mlalamikaji na kuwataka wasiendelee kugombana, badala yake wasubiri uamuzi wa mahakama kuhusu kesi hiyo.
Kamanda Kenyela alifafanua kuwa mwanamke aliyemshitaki Mwingira ni mmoja wa wamiliki 11 wa viwanda vilivyokuwa ndani ya Kitalu namba 90, Mwenge, Dar es Salaam.

Awali, Mwingira alisema, aliwataka wamiliki wa viwanda hivyo kuhama ili kupisha upanuzi wa kanisa na viwanda 10 vilitekeleza ombo hilo.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa makampuni 10 ambayo yalitakiwa kuhama na Mwingira na kutekeleza ni Metal Works, Timber Malt Tech, Auto Ran Makongo, Container Global, Simon Engineering, Safe Man, Profession Investigation, Elbe Ltd, Zana za Kilimo Mbeya na Kilimanjaro Machine Tools Ltd.

Januari 17 mwaka huu, katika toleo lake namba 721 gazeti hili liliripoti kusakwa kwa Mwingira na askari 20 waliofika kanisani kwake kwa lengo la kumkamata.
Askari hao waliokuwa katika magari mawili aina ya Land Rover ‘Difenda’ walifika kanisani kwa Mwingira baada ya kupata taarifa za kutokea kwa fujo kati ya wafuasi wa kanisa na wafanyakazi wa viwanda cha Afroplus kinachopakana na kanisa hilo, Mwenge, Dar lakini walimkosa.

Kamanda Kenyela alisema alimtuma mkuu wa polisi wa wilaya (OCD) kumpelekea Mwingira barua ya wito ili afike ofisini kwake na kutoa onyo kwamba kama akikaidi, wao polisi wasilaumiwe.
Baadhi ya wananchi waliokuwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay baada ya kumuona Mwingira walisema ni kitendo cha aibu kwa viongozi wa makanisa ya kiroho kufikishwa polisi.

“Siyo Mwingira tu, tumekuwa tukiona viongozi wengi wa makanisa ya kiroho wakifikishana polisi na watu au wao kwa wao, ningeshauri haya mambo wayamalize kwa kuelewana uraiani. Wana uwezo wa kuombea matatizo, hilo linawashinda nini? Zamani ilikuwa ni mwiko kuona kiongozi wa dini akifika polisi kulalamika au kulalamikiwa,” alisema mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Frida Gabriel aliyedai kuwa ni mlokole.

Mhhh mkuu nipe title ya hicho kitabu.. yaani mkuu katokewa na mungu while ana do na kahaba
Kitabu kinaitwa WITO WANGU , Kinaelezea Jinsi alivyoitwa na mungu wake na kwenda mbinguni na kukutana na Musa.
Ukita piga simu kwa bint kwa simu hii 0712 224104.
Bint huyu alikuwa Efatha kama muuza vitabu vya Nabii Mwingira lakini kwa sasa ameondoka hapo baada ya mambo hayohayo na amefungua duka lake anaendelea kuuza vitabu vingine vya dini vikiwemo vitabu vya Mwingira.

Pia kuna kitabu kinginekinaitwa Ndoto utaona Mwingira anasimulia kuwa Ndoto zote zinatoka kwa Mungu hata zile Mwanamke anaota anaingiriwa na mwanaume (Mahaba) .
Nenda pale Efatha Mwenge katika kikundi cha Kwaya hakuna Mwanamke asiye zini na Mwingira!!
Ukienda pale Benk Efatha utashanga mambo mazito!!!
 
Tusichezee jina la Nabii kabisa!! Mwingira anastahili kuitwa Pilato, Lucifer mkuu wa mashetani wote!! Jambazi kubwa hili na uchawi wake wa kinageria!! Majuzi hapa baada ya kesi zake mahakama kuu aliamua kukimbilia Nigeria kuongeza kinga ya uchawi na amerudi kitu kama last week hivi!! Chawi kubwa hili.

Sipo....
 
mwingira ni nabii wa uongo, ni mmoja kati ya wale waliotabiriwa kwenye Biblia '...Mtawatambua kwa matendo yao...!
 
Mi mbona nashindwa kuhusianisha kati ya tarehe tajwa hapo kwenye habari na ile iliyopo ndani ya habari.Kwani hii habari ya lini?
Wewe ni mvivu wa kupindukia humu jf tumesha soma thread nyingi za ukatili wa Fusika Mwingira!!!
Pale Mwenge amesha bomoa zaidi ya mara saba na taarifa na picha zililetwa humu!!!
Kabla ya kumtetea mtu wako tumia akili kumufuatilia!!!
Hilo tukio la January ni la sita na juama tatu pasaka ni lingine!!!
Mtafute Kenyella atakwmbia kiburi cha Mwingira na mapepo yake
 
Sio Hilo tu! Habari hii ni ya zamani, na Kama ulivyosema haihusiani na dini hizi mbili. Kiwanda kilichovunjwa awali eneo Hilo na Mwingira ni Simon Engineering kilichokuwa kinamilikiwa na Richard Moshi, mkristu, kiwanda kikubwa - machine tools manufactureres. Sijali nitukane watu wa udini hawa? Tusi Dogo tu , pumbfu!
Hujui usemalo mawazo yako kama ya Mwingira!!!
Jaribu kuwauliza wumini wenzako wa Efatha , ni kwa nini Mch Mwakasole alikamatwa na polisi???
Mipango yote anayofanya Mwingira inafahamika!!!
Uvamizi wa may Mwingira na vibaraka wake walisema hawahusiki sasa uvamizi wa x mas watu wale wale wamefanya uchafu uleule!!!!
 
Watu wmesoms sana bible na kupata Phd na kukuzidi wewe lakini wameishia kuhalisha Ushoga!!!

Ushoga umetoka kwa waliotunga bible na sasa unasambazwa kwa nguvu kwa wasiojua kusoma!!!
Suala la Uchafu wa Mwingira hauhitaji mtu kwenda kusoma bible na kutuchanganya na lugha za Waingereza walioleta Ushoga !!!
Nimesema ufuka wa Mwingira unatisha hatuwezi kuweka humu jf.!!!

Kusoma Biblia kama elimu hataufike level ya mwisho wa elimu ya duniani sio kumjua Mungu. Tunamjua Mungu kwa neno lake plus ufunuo wa Roho Mtakatifu, na inaanza na Imani. Muungano kati ya Neno na Roho Mtakatifu ni vitu muhimu sana. Mungu akijifunua kwako ndipo utaweza kumjua lakini vinginevyo unaweza kuokoka na kusoma biblia mwanzo mwisho januari mpaka december mara kumi kwa mwaka na usimjue Mungu. Hii haibadilishi na haita badili hadhi ya Mungu, atabaki kuwa Mungu umeelewa hujaelewa yeye ni Mungu tu. Kwa hiyo the earlier you understand the better.

Hoja yako inaonesha jinsi ulivyo mjinga katika mambo ya Mungu na mvivu wa kusoma niliandika kuhusu hili. Nenda kasome juu ya manabii wote unao wajua wewe hakuna aliye kuwa mkamilifu hata mmoja. Ni Bwana Yesu pekee ndiye aliyekuwa mkamilifu na kwa sababu yeye ni Mungu.

Tatizo lako jingine unapenda kurukia mambo juu juu. Mwingira anafungisha ndoa za ushoga? kusoma sana sio kumjua Mungu. Kwa kadiri mtu anavyosoma ndivyo uwezekano wa mtu kumrudia Muumba wake unapungua, kwa sababu elimu ya dunia hii kwanza haitoi nafasi ya kuonesha utukufu wa Mungu, pia msomi kama mimi nahitaji logical answers to controversy questions, which religious preachers don't have. Hii inapelekea wasomi kuamini kwamba Mungu hayupo, kwa bababu hawaja wahi kumuona au kuona kazi zake. Injili tuliyo hubiriwa miaka yote haikuwa na majibu ya maswali Mengi na kutatua matatizo ya jamii bali ilitutia Moyo tu. Tulisema tu God is able, God is good.... while suffering. But thanks God, that now Tanzania is getting some light, revelation is in town.
 
mark21:8-many will come in my name claim,'IAM HE' and will mislead many.

Wengi watakuja kwa jina langu wakisema MIMI NDIYE na watawapoteza walio wengi.

Uzuri kuna siku inakuja haya yote yatadhihirika. Let us wait and see nani ni nani! That day is not very far it is very close, He is coming, Jesus is coming.
 
Back
Top Bottom