Do you have the file for the case? any evidence please forward it to the court or open your case. Nimesema kwamba wamefanya usafi mchana mbona hamkuja? Pia ni choice ya mwenye eneo kufanya usafi muda anao amua yeye you have no right to ask or judge anybody about what belongs to them. Nimesema hata sasa wapo pale nendeni mkawaone.
Suala la Kubaka Mke Wa Mbuya lilikuwa hivi hivi na bado anajiita Nabii?? Ni Nabii gani Mbakaji??
Whether ni kweli au si kweli ni yeye na Mungu wake! I don't care what happened but I care for what is happening and what is going to happen. Jambo hili halibatilishi ukweli kwamba Yesu ni bwana na kwamba Wokovu ndio njia pekee ya kumuona Mungu.
Unamkumbuka Mfalme Daudi? Unakumbuka alifanya nini kwa mke wa Mtu? Mwisho wa siku Mungu alimhesabia kuwa ni mwenye haki na leo ni mtakatifu. Zaburi tunayo soma leo aliandika Daudi. Sauli naye alifanya nini mwishowe aliishia kuwa Mtume Paulo. Ibrahim naye alizaa na mjakazi wake lakini ndio Baba yetu wa Imani, Mussa naye? kasome vizuri.... Mungu tunaemtumikia ni Mungu wa rehema, Mungu anayesamehe dhambi anayeangalia future na sio past mistakes. It is only the devil and ignorant people that judge other people by what people say, what they did in the past and not what they will become in the future Mungu anaangalia ubaadaye (future) mtu atakuwa nani kwa utukufu wake. Kila mmoja wetu Mungu amemkusudia kitu fulani katika maisha yake, ninapokosea leo au mtumishi ambaye ni mwanadamu kama wengine anapokosea haimaanishi kwamba ndio hafai tena kutimiza kusudi la kuumbwa kwake ambapo kwalo atahukumiwa siku ile. Biblia insema ni Bwana Yesu pekee ndiye aliye kuwa msafi hakutenda dhambi katika maisha yake yote hapa duniani. Hivi wewe kama Mungu angekuwa katili ungekuwa hapo ulipo leo? God applies exception to the rules as we do in Laws. Mambo ya Mungu ni ya ajabu na hayaelezeki. Haiko katika uwezo wetu kuhukumu mtu yeyote, hukumu ni ya Mungu ndivyo maandiko yanavyosema... Hivyo tumrudie Mungu na kutubu dhambi ili atusamehe haijalishi ulifanya nini na nani wapi lini? Mungu anaangalia wewe utakuwa nani baada ya kukusamehe. Mungu anawapenda watu wake na anachukia dhambi. Siku zote Mungu amefanya kila jambo kwa kusudi lake we have no right to question God's actions above all he will remain to be God eventually. Pray and ask him all the controversy.