Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

kwahiyo gadaf na sadam walikufa kwa ajili ya kuzuia injili?.
NYIE WAKRISTO HAMFAGI?.
Umeanza kwa maelezo mazuri unamaliza vibaya ,acha udini mwigira.

Shida si kufa, shida ni ulikufaje. Kufa wote tunakufa lakini sidhani kama ungependa kifo alichokufa Gadaffi au Saddam Hussein.
 
kwahiyo kama ni babako kiroho ndo awe anabaka wake za watu ovyo alafu watu wakae kimya eeeh?
 
Kumjua mtumishi wa mungu ni ufahamu. Sio kila mtu anaweza akamjua mtumishi sahihi wa Mungu. unahitaji kusoma Biblia kikamilifu upate picha. Kasome vizuri wewe ndio uje kwangu things are very clear.
 
Shida si kufa, shida ni ulikufaje. Kufa wote tunakufa lakini sidhani kama ungependa kifo alichokufa Gadaffi au Saddam Hussein.

kufa ni kufa tu,uugue na kufa ,umekufa.upigwe mabomu na gaidi au ndege za marekani,umekufa.usulubiwe msalabani,upigwe risasi,uchinjwe,etc.kufa ni kufa hakuna fomula ya kufa.
 
Aliyekwambia huyo Mfilisti unayebishana naye ni Mkristo ni nani?

Kama kuna Mkristo anaamini kuwa Yesu si Kristo huyo ni mkristo? Endelea kumuomba Mungu wako kwa bidii ili akufungue upate kuwafahamu Wapinga Kristo kwa haraka kabla hawajakupotezea muda kwa utumishi wao kwa shetani aishiye Makka.
 
kwahiyo kama ni babako kiroho ndo awe anabaka wake za watu ovyo alafu watu wakae kimya eeeh?

Mkuu kama ungesoma post zangu vizuri nadhani ungeelewa. go back and read them all. I have no answer for this kind of question. Nilichoelewa tu ni kwamba wewe una uhusiano mzuri sana na shetani, maana ndiye anayependa kudhalilisha watu na habari mbaya za watu. Hivi hawa jamaa huwa hawana mema?
 
Kumjua mtumishi wa mungu ni ufahamu. Sio kila mtu anaweza akamjua mtumishi sahihi wa Mungu. unahitaji kusoma Biblia kikamilifu upate picha. Kasome vizuri wewe ndio uje kwangu things are very clear.

sasa si utuwekee wazi huo ufahamu wenyewe kwani tatizo liko wapi?.
Naona kama unacheza tu na maneno,wewe tuambie TUTAWATAMBUAJE,bible nishasoma sana na nikaelewa nilivyoelewa mimi kama mimi.sasa anapotokea mtu ananiambia eti sijaelewa yeye ndo anaelewa,WHAT?!!
 
naona unatuchanganya tu,wewe unamwani mwingira,yesu au mungu?.
Afu clarify lini gadaf alipiga vita injili,au sadamu au hata id amin, au unataka kusema mtu akigombana na wamarekani anakua kapiga vita injili?

I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
 
kufa ni kufa tu,uugue na kufa ,umekufa.upigwe mabomu na gaidi au ndege za marekani,umekufa.usulubiwe msalabani,upigwe risasi,uchinjwe,etc.kufa ni kufa hakuna fomula ya kufa.

Kwa imani yako ni sawa na ndio maana mnachinjana na kupigana mawe kwa jina la mungu wenu anayeishi jirani na shetani huko Makka. Mimi siamini kama ni jambo jema kwa mwanadamu afe akilaaniwa na wamuuao ya kuwa yeye yu mwenye dhambi fulani.
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana kwake yeye aaminie. Unaomba Mungu anafunua siri nyigi zilizo jificha. hakuna longo longo kwa Mungu Things are so obvoius. Come i will show you how to pray.
 
alaa kumbe...
 
Watumishi wapo ili upate usaidizi wa kumjua Bwana ili aweze kujifunua kwako. Biblia haisomwi kama Quran kwa watoto kutandikwa bakora mchana kutwa ili wakariri. Biblia ni Gombo la Chuo. Huwezi kusoma kama hekaya za Shigongo na kusema umeshaisoma yote na kuielewa.

Kama ungekuwa umeisoma na kuielewa, basi usingekuwa wa kwanza kusema kuwa 'asemaye Yesu ni Kristo ni nabii wa uongo'. Yesu ndiye Kristo.
 
Mimi sijawahi kanyaga kanisani kwa Mwingira lakini naona mahubiri yake through TRENET,nathibitisha
Mwingira ni mtumishi wa Mungu aliye hai.

ndo sasa ututhibitishie hapa,tuwekee kipi cha ajabu anachofanya tofauti na wachungaji au mapastor wengine hadi umuone yeye ni nabii wa ukweli ukijudge kwa matendo yake.
 
Yaani wewe ni kilaza kama huyo kilaza mwenzako Mwingira acha kukumbatia manabii Feki hadi siku wawachome moto kama alivyofanya Kibwetele Uganda ndio utakuwa na akili. Ili uielewe bibilia unahitaji uwe Mungu au nabii? Sasa wewe uliyee ielewa hebu tube hizo fact za kuwatambua manabii wa Uongo kama Mwingira.
 
Kwa imani yako ni sawa na ndio maana mnachinjana na kupigana mawe kwa jina la mungu wenu anayeishi jirani na shetani huko Makka. Mimi siamini kama ni jambo jema kwa mwanadamu afe akilaaniwa na wamuuao ya kuwa yeye yu mwenye dhambi fulani.

kwani unadhani yesu alikufaje mkuu.hebu chukua scene ya walivyomfanya yesu linganisha na ya gadaf au sadamu.
Yesu alikamatwa na askari wa kirumi wakiwamo na wayahudi wenzie,wakamtesa na kumuua pale msalabani huku wakimkejeri SI NDIO.?.
Gadaf alikamatwa na walibya wenzake baada ya kusonteshewa na wamarekani,akateswa na kuuawa.
Sadamu alikamatwa na wamarekani,ili kuepuka lawama wakamtoa kwa watu wake waliomnyonga.
Wanafunzi wote wa yesu nadhani kuachia yohana ,walikamatwa waliteswa,walikata vichwa,walinyongwa.
Sasa nikuulize..wewe unaona hizo scene zina tofauti gani?
 
watu tumesoma shule za christian,tumesoma bible knowledge ,tumeingia makanisani tumehubiliwa na mapastor wenye madgree yao .leo hapa unataka kujiona mwelevu.mkuu si lazima unachoamini wewe kila mtu aamini na huwezi lazimisha watu wakubaliane na mahubiri yako.
 
EAT THIS-
jesus say-for many will come in MY NAME saying IAM THE CHRIST and they will lead many ASTRAY. (mathew 24:5).

Kwamaana wengi watakuja kwa jina LANGU WAKISEMA MIMI NI KRISTO NAO WATAWAPOTEZA WALIO WENGI.

Now debunk that.
 
Reactions: PSM
Hilo halihusiani. Unajuaje kama padri alikuwa anachukua mke wa mtu? Msiwe wepesi wa kuingiza udini kwenye issue ambayo hujapata ushahidi

chunga kauli yako.si vzr hata kidogo kusema eti labda padri alikuw anamchukua mke wa mtu.usipende kuthibitisha mambo usiokuwa na uhakika nayo!tuwe na busura ktk ku-comment!
 
EAT THIS-
jesus say-for many will come in MY NAME saying IAM THE CHRIST and they will lead many ASTRAY. (mathew 24:5).

Kwamaana wengi watakuja kwa jina LANGU WAKISEMA MIMI NI KRISTO NAO WATAWAPOTEZA WALIO WENGI.

Now debunk that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…