I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
Masikini Huyu bado kafungwa!poleMarekebisho, sio anayejiita bali ni Mtume na Nabii J.E. Mwingira. Ask God about this man.
Kuvamia. Hakuna uvamizi wowote bali lile eneo lote ni la Huduma la Efatha (Efatha Ministry). Mikataba ya kulinunua ipo na ilioneshwa kwenye vyombo vya habari. Ni eneo la Huduma hivyo ni maamuzi ya huduma kufanya chochote wakati wowote. Hakuna mwislamu yeyote mwenye hati ya kile kiwanja. Simple question hivi walivyo na kelele wangekuwa na evidence mkononi kunge kalika DSM?
Kuchoma moto.
Hapana hakuna moto uliochomwa bali ni usafi na kuweka tayari eneo kwa ajili ya upanuzi wa kanisa ili injili isonge mbele. Pia jambo hili halikufanywa usiku bali ni mchana kweupe siku ya Christmass pamefanyiwa usafi hata sasa vijana wanaendelea na usafi unaweza kwenda kuwaona ukitaka.
Naona tu ni jitihada tu za shetani za kutafuta namna ya kujiinua against the power of Gospel. Hakuna aliye jaribu kuzuia injili akashinda hata sikumoja wapi gadafi, wapi sadam wapi id amin na wengine wanafuata. Study history it will tell you. Ushauri...usiongelee au kuchangia jambo ambalo hulijui au huna uhakika nalo kwa sababu biblia inasema mwanadamu atakula matunda ya kinywa chake pia inasema mauti na uzima vi katika kinywa cha mtu. Hakuna neno ambalo mtu atasema likakosa baraka au laana kwa mtu huyo. Period
There is tendence that most people judge other people basing on perception of other people, This is really bad kwani imeandikwa usihukumu, maana ni kwa kipimo kilekile utakachotumia kitatumika kwako. Mfano hapa watu kufanya usafi kwenye eneo lao ni issue. Kumbuka kwamba ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
Wewe na huyo mwingira Wako mnamuomba mungu na wala siyo Mungu!Imeandikwa sio kila asemaye Bwana Bwana... atauona ufalme wa Mungu. pia imeandikwa patakuwepo na manabii wa uongo...muwachunguze. utamchunguza vipi nabii au mtumishi wa Mungu. Kwa akili na kusilikiliza watu wanaseman nini hutakaa uweze. ni kwa kuomba Mungu akuonyeshe na mungu ni mwaminifu atakuonyesha na yeyote atakaye hitaji atamfunulia.
Hiyo unayosema wewe ya kwamba Yesu ni Kristo imeandikwa wapi? tatizo wakristo wengi ni wavivu wa kusoma biblia kuna muda wa kupoteza lakini sio kufanya jitihada za kumtafuta Mungu. mambo ya Mungu yako very clear huhitaji mtu akuambie ila Mungu ndiye asemaye yote kwa watu wake. Wapo wanaoamini Mungu haongei aliongeaga zamani tu. He is real he can answer all questions. Badala ya kusikia sikia hebu tumia muda wako mtafute Mungu ajifunue kwako. Mungu akusaidie...
Huyo amekata kweli hivyo Mungu kaachilia nguvu ya upotevu!!!Masikini Huyu bado kafungwa!pole
Mkuu siwezi hata kupoteza muda kusoma Huo u t u.....ili mradi ukweli na ujue na Mungu aw ukweli namtambua basi yatosha kabisa yasije ni pata tu maji... Yaliyowafunga wengine...Huyo amekata kweli hivyo Mungu kaachilia nguvu ya upotevu!!!
Na kama hakuna msaada atatupwa kwenye hukumu ya waliopotea!!!
Tafuta kitabu cha Mwingira mwenyewe anasema mungu alimtokea wakati anafanya zinaa na kahaba!!
Baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akinywa Pombe na kutapika tapika!!!
Haya ni maelezo ya anayejiita Nabii Mwingira katika kitabu chake cha wito wangu tafuteni msome muone uchafu huu
Tusichezee jina la Nabii kabisa!! Mwingira anastahili kuitwa Pilato, Lucifer mkuu wa mashetani wote!! Jambazi kubwa hili na uchawi wake wa kinageria!! Majuzi hapa baada ya kesi zake mahakama kuu aliamua kukimbilia Nigeria kuongeza kinga ya uchawi na amerudi kitu kama last week hivi!! Chawi kubwa hili.
Mwingira mwenyewe katika kitabu chake wa wito anaeleza kuwa mungu wake alimwita wakati anafanya zinaa, na baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akiwa anakunywa pombe na kutapika !!!I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
Watu wmesoms sana bible na kupata Phd na kukuzidi wewe lakini wameishia kuhalisha Ushoga!!!Kumjua mtumishi wa mungu ni ufahamu. Sio kila mtu anaweza akamjua mtumishi sahihi wa Mungu. unahitaji kusoma Biblia kikamilifu upate picha. Kasome vizuri wewe ndio uje kwangu things are very clear.
Nadhani wewe ni mropokaji. Una akili fupi za kutokufikiria. Mambo ya Mwingira na hicho kiwanda si ya wakristu na waislamu, bali ni yao binafsi. Ni ujinga kushabikia vitu kama hivi kutumia mwamvuli wa dini. Hao ni watu wanaojuana. Ficha upumbavu wako kwa kutokushabikia udini.
Mwingira anapepo linalomupa jeuri !!! Mapepo mengi huwa yanamfanya mtu awe na jeuriKama kweki kavunja na bado kuna amri ya mahakama hii ni jeuri anayo onesha kwamba yeye haguswi
Hiki kiwanda kinatumika kuchapa vitabu vya dini ya kiislam
Waislam tuna wajib wa kuondoa munkar hii
Ijumaa ijayo ya kesho tukasafishe baada ya hapo tutajua ubabe wake uko wapi
Na we nye mamlaka watatenda haki
Tumsaidoie ndugu yetu tukasafishe kiwanja chote
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyo amekata kweli hivyo Mungu kaachilia nguvu ya upotevu!!!
Na kama hakuna msaada atatupwa kwenye hukumu ya waliopotea!!!
Tafuta kitabu cha Mwingira mwenyewe anasema mungu alimtokea wakati anafanya zinaa na kahaba!!
Baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akinywa Pombe na kutapika tapika!!!
Haya ni maelezo ya anayejiita Nabii Mwingira katika kitabu chake cha wito wangu tafuteni msome muone uchafu huu
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Zain Shaarifu Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.
Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .
Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!
Tuesday, January 31, 2012
MTUME NA NABII MWINGIRA ATIWA MBARONI DAR
KIONGOZI wa Kanisa la Efatha, Nabii na Mtume Josephat Mwingira amekamatwa na polisi katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar es Salaam, akituhumiwa kuharibu mali za mfanyabiashara, Zain Sharifu.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, ACP Charles Kenyela, Mwingira alikamatwa wiki iliyopita na kushikiliwa kituoni hapo.
Hata hivyo, Kenyela alisema, Mwingira alidhamiwa baada ya kuhojiwa kuhusiana na tuhuma za kuvunja na kuharibu mali ndani ya Kiwanda cha Uchapaji cha Afroplus kinachomilikiwa na mlalamikaji.
Tumemkamata kiongozi huyo ili atoe ufafanuzi wa kina baada ya kupokea malalamiko hayo, alisema Kenyela alipozungumza na mwandishi wetu wiki iliyopita ofisini kwake.
Kenyela alisema, mashtaka hayo yalifikishwa polisi na Zain, Januari 8, mwaka huu, akidai kwamba walinzi binafsi wa kiongozi huyo wa kanisa, walivamia kiwandani kwake na kuharibu mali baada ya kufanya fujo.
Aliongeza kuwa polisi baada ya kupata taarifa hizo, walikwenda eneo la tukio kushuhudia na kukuta mali zilizoharibiwa, hivyo walimtaka Mwingira kufika polisi ili atoe ufafanuzi lakini alikaidi ndipo polisi ikatumia nguvu kumkamata.
Alipoulizwa Mwingira kuhusu madai hayo alijitetea uwa eneo hilo ni mali halali ya Efatha tangu Juni 17, 2005, baada ya kulinunua kutoka kwa mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Mangula, hivyo anasubiri tamko la Mahakama ya Ardhi Tanzania ambako shitaka limepelekwa, alisema.
Baada ya Mwingira kuhojiwa kituoni hapo, Kenyela aliwakutanisha na Zain ambaye ni mlalamikaji na kuwataka wasiendelee kugombana, badala yake wasubiri uamuzi wa mahakama kuhusu kesi hiyo.
Kamanda Kenyela alifafanua kuwa mwanamke aliyemshitaki Mwingira ni mmoja wa wamiliki 11 wa viwanda vilivyokuwa ndani ya Kitalu namba 90, Mwenge, Dar es Salaam.
Awali, Mwingira alisema, aliwataka wamiliki wa viwanda hivyo kuhama ili kupisha upanuzi wa kanisa na viwanda 10 vilitekeleza ombo hilo.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa makampuni 10 ambayo yalitakiwa kuhama na Mwingira na kutekeleza ni Metal Works, Timber Malt Tech, Auto Ran Makongo, Container Global, Simon Engineering, Safe Man, Profession Investigation, Elbe Ltd, Zana za Kilimo Mbeya na Kilimanjaro Machine Tools Ltd.
Januari 17 mwaka huu, katika toleo lake namba 721 gazeti hili liliripoti kusakwa kwa Mwingira na askari 20 waliofika kanisani kwake kwa lengo la kumkamata.
Askari hao waliokuwa katika magari mawili aina ya Land Rover Difenda walifika kanisani kwa Mwingira baada ya kupata taarifa za kutokea kwa fujo kati ya wafuasi wa kanisa na wafanyakazi wa viwanda cha Afroplus kinachopakana na kanisa hilo, Mwenge, Dar lakini walimkosa.
Kamanda Kenyela alisema alimtuma mkuu wa polisi wa wilaya (OCD) kumpelekea Mwingira barua ya wito ili afike ofisini kwake na kutoa onyo kwamba kama akikaidi, wao polisi wasilaumiwe.
Baadhi ya wananchi waliokuwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay baada ya kumuona Mwingira walisema ni kitendo cha aibu kwa viongozi wa makanisa ya kiroho kufikishwa polisi.
Siyo Mwingira tu, tumekuwa tukiona viongozi wengi wa makanisa ya kiroho wakifikishana polisi na watu au wao kwa wao, ningeshauri haya mambo wayamalize kwa kuelewana uraiani. Wana uwezo wa kuombea matatizo, hilo linawashinda nini? Zamani ilikuwa ni mwiko kuona kiongozi wa dini akifika polisi kulalamika au kulalamikiwa, alisema mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Frida Gabriel aliyedai kuwa ni mlokole.
Kitabu kinaitwa WITO WANGU , Kinaelezea Jinsi alivyoitwa na mungu wake na kwenda mbinguni na kukutana na Musa.Mhhh mkuu nipe title ya hicho kitabu.. yaani mkuu katokewa na mungu while ana do na kahaba
Tusichezee jina la Nabii kabisa!! Mwingira anastahili kuitwa Pilato, Lucifer mkuu wa mashetani wote!! Jambazi kubwa hili na uchawi wake wa kinageria!! Majuzi hapa baada ya kesi zake mahakama kuu aliamua kukimbilia Nigeria kuongeza kinga ya uchawi na amerudi kitu kama last week hivi!! Chawi kubwa hili.
Wewe ni mvivu wa kupindukia humu jf tumesha soma thread nyingi za ukatili wa Fusika Mwingira!!!Mi mbona nashindwa kuhusianisha kati ya tarehe tajwa hapo kwenye habari na ile iliyopo ndani ya habari.Kwani hii habari ya lini?
Hujui usemalo mawazo yako kama ya Mwingira!!!Sio Hilo tu! Habari hii ni ya zamani, na Kama ulivyosema haihusiani na dini hizi mbili. Kiwanda kilichovunjwa awali eneo Hilo na Mwingira ni Simon Engineering kilichokuwa kinamilikiwa na Richard Moshi, mkristu, kiwanda kikubwa - machine tools manufactureres. Sijali nitukane watu wa udini hawa? Tusi Dogo tu , pumbfu!
Watu wmesoms sana bible na kupata Phd na kukuzidi wewe lakini wameishia kuhalisha Ushoga!!!
Ushoga umetoka kwa waliotunga bible na sasa unasambazwa kwa nguvu kwa wasiojua kusoma!!!
Suala la Uchafu wa Mwingira hauhitaji mtu kwenda kusoma bible na kutuchanganya na lugha za Waingereza walioleta Ushoga !!!
Nimesema ufuka wa Mwingira unatisha hatuwezi kuweka humu jf.!!!
mark21:8-many will come in my name claim,'IAM HE' and will mislead many.
Wengi watakuja kwa jina langu wakisema MIMI NDIYE na watawapoteza walio wengi.