Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

Masikini Huyu bado kafungwa!pole

Ni muda mfupi tu umebaki tutajua nani kafungwa kati ya mimi na wewe...He is surely coming, Jesus is coming. Mungu akusaidie...
 

Shida yenu ni kudhania kuwa Mungu ni kama binadamu. Mungu ampapo mtumishi daraja, huwa hamuangalii anafanya nini wakati huo wala roho yake ikoje.

Mtume Paulo (Mtakatifu) alikuwa muuaji wa Wakristo, akiwa safarini kwenda kuua Wakristo, Bwana alimtokea na kumpa majukumu mapya. Unataka kuniambia kuwa Yesu hakuona watu wengine wamchao Mungu mpaka wajibu ule ampe Saulo?

Hekima yahitajika linapokuja suala la Mungu, usidhani Mungu na mungu wa kutunga mwenye kuwashushia watu vitabu vya kuhalalisha maovu yao ni sawa. Leo ukiungana na sugar mummy mungu anashusha aya ya kusema ni sawa, kesho ukikivua nguo kitoto cha miaka 9, mungu anashusha aya ya kusema ni sawa, kesho ukiua wafanyabiashara na kupora mali zao, mungu anashusha aya na kusema ni sawa....amkeni!
 
Ni muda mfupi tu umebaki tutajua nani kafungwa kati ya mimi na wewe...He is surely coming, Jesus is coming. Mungu akusaidie...

Wewe unashindana na mapepo bila kujua. Kuna baadhi ya imani ukiwa nazo zinakutia upofu. Upofu ule ambao Yesu alimpiga Saulo (Mtume Paulo) na kumkabidhi daraja lililo bora katika mitume wake.

Kama Mwingira kupewa daraja akiwa mlevi kunawashangaza, basi we wakumbushe tu kuwa Paulo alipewa akiwa anakwenda kuwaua wamchao Bwana. Hekima ya Mungu haipimwi kwa akili ya binadamu, soma Mithali 27:22 ndio utajua kuwa hata ukisema nini juu ya watu ambao Bwana hajawachagua, basi hutafua dafu.

Cha muhimu ni kuwaombea, kwani kama Bwana hakuwachagua hata uwahubirie nini, watabaki kuwa wapumbavu waaminio kuwa 'Polisi wakimuua Sheikh mmoja kwa sababu wanazozijua wao, basi na wao wanatakiwa wamuue Askofu mmoja' na kwao hiyo ni hekima na thawabu kwa mungu wao.
 

Na wale waliompiga sijui mungu, sijui mwanawe, mungu alishusha aya na akasema apigwe tuu !? Au !!?
 
kwa vile ni Mwingira utawala wa sheria unataka uzingatiwe kwa kuwa shauri liko mahakamani. DOWANS TZ LTD haikuuzwa kwa SYMBION POWER LTD shauri likiwa mahakamani? Ni utawala upi wa sheria unaotaka uheshimiwe? Hiyo siyo double standard?
 
Apo ndipo utakapo uona mfumo kristo ndani ya nchi hii huyo nabii wa shetani ataachiwa huru aje atambe uraiani wakata cc waislam shekhe wetu ponda anaendelea kunywa uji gelezani!
 
kwa vile ni mwingira utawala wa sheria unataka uzingatiwe kwa kuwa shauri liko mahakamani. Dowans tz ltd haikuuzwa kwa symbion power ltd shauri likiwa mahakamani? Ni utawala upi wa sheria unaotaka uheshimiwe? Hiyo siyo double standard?
huwezi kumutetea mungu kwa dhambi???
Kama dowans wamekosea kufuata sheria mwingira anatakiwa kuonyesha mfano wa kufuata sheria na si kubaka wake za watu!!!!!!!
 
YESU ALITEUA MITUME BAADA YA KUACHA DHAMBI LAKINI mungu wa Mwingira alimteua Mwingira na kumwacha anafanya ufusika hadi leo!!!!
 

Mimi niliomba mwenye muendelezo wa hilo shauri toka liingie mahakamani hadi leo aulete hapa ila naona kimya huku mnasema "kakiuka mahakama". Je ni nani kakiuka? Hiyo kesi ilifunguliwa na nani tangu lini? Tujisomee hayo yaliyojiri mahakamani ili tujiridhishe na mnayoandika hapa.
 

Kwa hiyo Paulo na Mwingira wako daraja moja !?
 
Na wale waliompiga sijui mungu, sijui mwanawe, mungu alishusha aya na akasema apigwe tuu !? Au !!?

Kama hujui nani kaa kimya ukishajua njoo na swali lililonyooka, hiyo moja. Mbili mimi sijui habari za mungu kwani hanihusu, ni kwa wale wamuaminio.

Niulize habari za Mungu, hizo nitakujibu kwani nafsi yangu yamuadhimisha kwa rehema na neema alizonijalia.
 
Kwa hiyo Paulo na Mwingira wako daraja moja !?

Kuna sehemu nilisema tuna madaraja kiasi uanze kuwalinganisha watu?

Ukisikia daraja katika Ukristo ujue tunamaanisha utumishi. Usije ukadhani ni zile hadhi za Middle East zinazonyumbulisha nani achukue asilimia ngapi za mali iliyoporwa kwa wafanyabiashara wa Qurayshi
 

wangekuwa waislam ingekuja adi erico
http://www.facebook.com
 

Kama paulo ni mtume na mwingira nae ni mtume, Je, hawa wako sawa au si sawa !?
 
Nabii anasema Serikali ya Kikwete ni Washenzi lakini yeye ndiye anayeipa pesa!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…