grey
Senior Member
- Apr 21, 2010
- 159
- 45
Wewe na huyo mwingira Wako mnamuomba mungu na wala siyo Mungu!
Ni swala la muda tu, tutajua wa nani ni Mungu aliye hai...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na huyo mwingira Wako mnamuomba mungu na wala siyo Mungu!
Masikini Huyu bado kafungwa!pole
Huyo amekata kweli hivyo Mungu kaachilia nguvu ya upotevu!!!
Na kama hakuna msaada atatupwa kwenye hukumu ya waliopotea!!!
Tafuta kitabu cha Mwingira mwenyewe anasema mungu alimtokea wakati anafanya zinaa na kahaba!!
Baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akinywa Pombe na kutapika tapika!!!
Haya ni maelezo ya anayejiita Nabii Mwingira katika kitabu chake cha wito wangu tafuteni msome muone uchafu huu
Ni muda mfupi tu umebaki tutajua nani kafungwa kati ya mimi na wewe...He is surely coming, Jesus is coming. Mungu akusaidie...
Bora usiwepo kabisa maana wanaoongoza makanisa kwa nguvu za jiza ni kuwaogopa kama ukoma.Sipo....
Shida yenu ni kudhania kuwa Mungu ni kama binadamu. Mungu ampapo mtumishi daraja, huwa hamuangalii anafanya nini wakati huo wala roho yake ikoje.
Mtume Paulo (Mtakatifu) alikuwa muuaji wa Wakristo, akiwa safarini kwenda kuua Wakristo, Bwana alimtokea na kumpa majukumu mapya. Unataka kuniambia kuwa Yesu hakuona watu wengine wamchao Mungu mpaka wajibu ule ampe Saulo?
Hekima yahitajika linapokuja suala la Mungu, usidhani Mungu na mungu wa kutunga mwenye kuwashushia watu vitabu vya kuhalalisha maovu yao ni sawa. Leo ukiungana na sugar mummy mungu anashusha aya ya kusema ni sawa, kesho ukikivua nguo kitoto cha miaka 9, mungu anashusha aya ya kusema ni sawa, kesho ukiua wafanyabiashara na kupora mali zao, mungu anashusha aya na kusema ni sawa....amkeni!
huwezi kumutetea mungu kwa dhambi???kwa vile ni mwingira utawala wa sheria unataka uzingatiwe kwa kuwa shauri liko mahakamani. Dowans tz ltd haikuuzwa kwa symbion power ltd shauri likiwa mahakamani? Ni utawala upi wa sheria unaotaka uheshimiwe? Hiyo siyo double standard?
YESU ALITEUA MITUME BAADA YA KUACHA DHAMBI LAKINI mungu wa Mwingira alimteua Mwingira na kumwacha anafanya ufusika hadi leo!!!!Shida yenu ni kudhania kuwa Mungu ni kama binadamu. Mungu ampapo mtumishi daraja, huwa hamuangalii anafanya nini wakati huo wala roho yake ikoje.
Mtume Paulo (Mtakatifu) alikuwa muuaji wa Wakristo, akiwa safarini kwenda kuua Wakristo, Bwana alimtokea na kumpa majukumu mapya. Unataka kuniambia kuwa Yesu hakuona watu wengine wamchao Mungu mpaka wajibu ule ampe Saulo?
Hekima yahitajika linapokuja suala la Mungu, usidhani Mungu na mungu wa kutunga mwenye kuwashushia watu vitabu vya kuhalalisha maovu yao ni sawa. Leo ukiungana na sugar mummy mungu anashusha aya ya kusema ni sawa, kesho ukikivua nguo kitoto cha miaka 9, mungu anashusha aya ya kusema ni sawa, kesho ukiua wafanyabiashara na kupora mali zao, mungu anashusha aya na kusema ni sawa....amkeni!
Kama kweki kavunja na bado kuna amri ya mahakama hii ni jeuri anayo onesha kwamba yeye haguswi
Hiki kiwanda kinatumika kuchapa vitabu vya dini ya kiislam
Waislam tuna wajib wa kuondoa munkar hii
Ijumaa ijayo ya kesho tukasafishe baada ya hapo tutajua ubabe wake uko wapi
Na we nye mamlaka watatenda haki
Tumsaidoie ndugu yetu tukasafishe kiwanja chote
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wewe unashindana na mapepo bila kujua. Kuna baadhi ya imani ukiwa nazo zinakutia upofu. Upofu ule ambao Yesu alimpiga Saulo (Mtume Paulo) na kumkabidhi daraja lililo bora katika mitume wake.
Kama Mwingira kupewa daraja akiwa mlevi kunawashangaza, basi we wakumbushe tu kuwa Paulo alipewa akiwa anakwenda kuwaua wamchao Bwana. Hekima ya Mungu haipimwi kwa akili ya binadamu, soma Mithali 27:22 ndio utajua kuwa hata ukisema nini juu ya watu ambao Bwana hajawachagua, basi hutafua dafu.
Cha muhimu ni kuwaombea, kwani kama Bwana hakuwachagua hata uwahubirie nini, watabaki kuwa wapumbavu waaminio kuwa 'Polisi wakimuua Sheikh mmoja kwa sababu wanazozijua wao, basi na wao wanatakiwa wamuue Askofu mmoja' na kwao hiyo ni hekima na thawabu kwa mungu wao.
Na wale waliompiga sijui mungu, sijui mwanawe, mungu alishusha aya na akasema apigwe tuu !? Au !!?
Kwa hiyo Paulo na Mwingira wako daraja moja !?
Mwingira mwenyewe katika kitabu chake wa wito anaeleza kuwa mungu wake alimwita wakati anafanya zinaa, na baada ya hapo akaanza kuombea watu huku akiwa anakunywa pombe na kutapika !!!
Hakuna mahali popote ambapo ame andika kuwa aliyubu dhambi ya zinaa!!!
Halafu ni matusi makubwa mtu ametoka katika zinaa halafu anaombea watu???
Tunachoweza kuona ni roho ya zinaa ambayo imo ndani ya Mwingira hadi leo anabaka wake za watu na waumini
Kuna sehemu nilisema tuna madaraja kiasi uanze kuwalinganisha watu?
Ukisikia daraja katika Ukristo ujue tunamaanisha utumishi. Usije ukadhani ni zile hadhi za Middle East zinazonyumbulisha nani achukue asilimia ngapi za mali iliyoporwa kwa wafanyabiashara wa Qurayshi