Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,774
Kuwa Muislam ni laana, no doubt.
Hivi mtu unaposema KIWANDA CHA WAISLAM, ina maana kinamilikiwa na jumuiya ya Waislam au msikiti?
Damu ya Yesu ndio inakuta hivyo? Duu kaazi kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa Muislam ni laana, no doubt.
Hivi mtu unaposema KIWANDA CHA WAISLAM, ina maana kinamilikiwa na jumuiya ya Waislam au msikiti?
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.
Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .
Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!
Wewe mie nimelinganisha tu kwa kutoa kauli mbadala ambapo ingewezekana mwingine kusema hivyo, hivyo hakuna haja ya ku link udini na padri kupigwa risasi, tusuburi uchunguzi au taarifa kamili. Unajua kwa wengine ukishasema kuwa padri kapigwa risasi na waislamu inaweza kuleta chuki miongoni mwa watu ambao hawahusiki. Ila kama ikidhihirika kuwa ilikuwa ni udini hapo ndiyo tunaweza kujadili sasa. Otherwise tuache propaganda za dini kwenye hizi social forums, tutachukiana kwa vitu vya kitoto (kama mbagala)We uliyotuhumu hapo una ushahidi nayo?
???????kabanga naomba tupite pamoja.
Mkuu hii ni mijitu ambayo haijapata elimu dunia,kwa hiyo haelewi chochote,kwa mfano anasema "amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge"unabaki unajiuliza hiki kiwanda kinamilikiwa na jumuiya gani ya kiislamu?hii yote anataka kuleta chuki za kidini!!unajuaje kama mahakama haijampa iyo notes tayar ya kuvunja,mbona wao wapo kimya?tatizo la wabongo fitana,majungu,fitna
Hawa jamaa ni vilaza sana,yaani hata wakianzisha mada inakuwa haina mashiko hata kidogo!!Kiwanda cha waislam, kinamilikiwa na msikiti gani? Tatizo la kuikimbia elimu dunia.
Kunywa sumu basi kudhihirisha hasira yako, si utaenda ahera!
Shetani anaishi MakaNi kweli kabisa mkuu,ndiyo maana wanaonekanaga wanamrushia mawe!!
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.
Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .
Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!
Jumatatu ya Pasaka?Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.
Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .
Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!
Mwingira ana kesi ya Ubakaji . Amekuwa anamubaka Mke Wa Mbuya na kesi ipo Mahakani tusubili kwanza Suluhu la kesi hii ndipo uje ulete utetezi wako!!Wewe wasema kuwa amejiita,,for your information ameitwa na Mungu thats why biblia inatuambia utamjuaje nabii wa ukweli na uongo?jibu rahisi nabii wa ukweli ni yule anayetamka jambo likatokea na wa uongo ni yule anayetamka jambo lisitokee,
.tunaanza sasa,unamjua aliyekuwa akijiita sheikh yahaya huseni,wakati wa kampeni alisema kuna mgombea mmoja wa urais atakufa unakumbuka ilikuwa 2010?je kuna aliyekufa?
Watumishi wa MUNGU aliye hai nao kama ni mfatiliaji wa magazeti kuna mmoja akasimama akasema hakuna mgombea atakayekufa ila atakayekufa ni huyo anayejiita sheikh yahya,,,je huyo aliyejiita sheikh yahaya alimaliza hata mwaka?alikufa......
Mpaka hapo utaona nani zaidi MUNGU wa Mwingira ama miungu wa bahari(yahaya alkiyekuwa anafuga majini)
Marekebisho, sio anayejiita bali ni Mtume na Nabii J.E. Mwingira. Ask God about this man.
Kuvamia. Hakuna uvamizi wowote bali lile eneo lote ni la Huduma la Efatha (Efatha Ministry). Mikataba ya kulinunua ipo na ilioneshwa kwenye vyombo vya habari. Ni eneo la Huduma hivyo ni maamuzi ya huduma kufanya chochote wakati wowote. Hakuna mwislamu yeyote mwenye hati ya kile kiwanja. Simple question hivi walivyo na kelele wangekuwa na evidence mkononi kunge kalika DSM?
Kuchoma moto.
Hapana hakuna moto uliochomwa bali ni usafi na kuweka tayari eneo kwa ajili ya upanuzi wa kanisa ili injili isonge mbele. Pia jambo hili halikufanywa usiku bali ni mchana kweupe siku ya Christmass pamefanyiwa usafi hata sasa vijana wanaendelea na usafi unaweza kwenda kuwaona ukitaka.
Naona tu ni jitihada tu za shetani za kutafuta namna ya kujiinua against the power of Gospel. Hakuna aliye jaribu kuzuia injili akashinda hata sikumoja wapi gadafi, wapi sadam wapi id amin na wengine wanafuata. Study history it will tell you. Ushauri...usiongelee au kuchangia jambo ambalo hulijui au huna uhakika nalo kwa sababu biblia inasema mwanadamu atakula matunda ya kinywa chake pia inasema mauti na uzima vi katika kinywa cha mtu. Hakuna neno ambalo mtu atasema likakosa baraka au laana kwa mtu huyo. Period
There is tendence that most people judge other people basing on perception of other people, This is really bad kwani imeandikwa usihukumu, maana ni kwa kipimo kilekile utakachotumia kitatumika kwako. Mfano hapa watu kufanya usafi kwenye eneo lao ni issue. Kumbuka kwamba ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.