Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.

Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .

Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!

Kama suala liko mahakani, wewe umepata wapi hukumu inayokuambia kwamba kiwanda hicho ni cha waislam?

Habari ya dini za wahusika zimeingiaje katika jambo la binafsi kama hili?

Tafadhali acha siasa za kuhusisha dini katika masuala ya watu binafsi. Huo ni udhaifu wa kutaka upate support ya watu wengi wenye dini unayodhani inaonewa. Au ulimsikia Mwingira anasema anavunja hicho kiwanda kwa kuwa ni cha waislam?
 
unajuaje kama mahakama haijampa iyo notes tayar ya kuvunja,mbona wao wapo kimya?tatizo la wabongo fitana,majungu,fitna
 
We uliyotuhumu hapo una ushahidi nayo?
Wewe mie nimelinganisha tu kwa kutoa kauli mbadala ambapo ingewezekana mwingine kusema hivyo, hivyo hakuna haja ya ku link udini na padri kupigwa risasi, tusuburi uchunguzi au taarifa kamili. Unajua kwa wengine ukishasema kuwa padri kapigwa risasi na waislamu inaweza kuleta chuki miongoni mwa watu ambao hawahusiki. Ila kama ikidhihirika kuwa ilikuwa ni udini hapo ndiyo tunaweza kujadili sasa. Otherwise tuache propaganda za dini kwenye hizi social forums, tutachukiana kwa vitu vya kitoto (kama mbagala)
 
Kumbe bakwata ina viwanda? Ama mmiliki ni muumini wa dini ya kiislamu?
 
unajuaje kama mahakama haijampa iyo notes tayar ya kuvunja,mbona wao wapo kimya?tatizo la wabongo fitana,majungu,fitna
Mkuu hii ni mijitu ambayo haijapata elimu dunia,kwa hiyo haelewi chochote,kwa mfano anasema "amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge"unabaki unajiuliza hiki kiwanda kinamilikiwa na jumuiya gani ya kiislamu?hii yote anataka kuleta chuki za kidini!!
 
Kiwanda cha waislam, kinamilikiwa na msikiti gani? Tatizo la kuikimbia elimu dunia.
Kunywa sumu basi kudhihirisha hasira yako, si utaenda ahera!
Hawa jamaa ni vilaza sana,yaani hata wakianzisha mada inakuwa haina mashiko hata kidogo!!
 
Kiwanda cha Waislam? Kinatotoa Waislam?
 
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.

Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .

Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!

Hebu tupetiririko wa shauri lililokuwa mahakani tangu lianze mpaka sasa.
 
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka
Jumatatu ya Pasaka?
 
Huo udini tu unakusumbua, walipochoma mashamba pamoja na ma-tractor yake na kumsababishia hasara ya mamilioni ya pesa mbona hukuleta uzi wa kulaani unyama huo?
 
Kwa uchochezi wa kidini unaoendelea kuna hatari mtu akaibiwa, kisha akaja kusema hadharani ya kwamba waumini wa dini fulani wameniibia.
Mleta habari acha kushabikia udini. Mambo ya imani ni mazito sana, si rahisi klama tunavyochapa maandishi.
 
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.

Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .

Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!

Marekebisho, sio anayejiita bali ni Mtume na Nabii J.E. Mwingira. Ask God about this man.

Kuvamia. Hakuna uvamizi wowote bali lile eneo lote ni la Huduma la Efatha (Efatha Ministry). Mikataba ya kulinunua ipo na ilioneshwa kwenye vyombo vya habari. Ni eneo la Huduma hivyo ni maamuzi ya huduma kufanya chochote wakati wowote. Hakuna mwislamu yeyote mwenye hati ya kile kiwanja. Simple question hivi walivyo na kelele wangekuwa na evidence mkononi kunge kalika DSM?

Kuchoma moto.
Hapana hakuna moto uliochomwa bali ni usafi na kuweka tayari eneo kwa ajili ya upanuzi wa kanisa ili injili isonge mbele. Pia jambo hili halikufanywa usiku bali ni mchana kweupe siku ya Christmass pamefanyiwa usafi hata sasa vijana wanaendelea na usafi unaweza kwenda kuwaona ukitaka.

Naona tu ni jitihada tu za shetani za kutafuta namna ya kujiinua against the power of Gospel. Hakuna aliye jaribu kuzuia injili akashinda hata sikumoja wapi gadafi, wapi sadam wapi id amin na wengine wanafuata. Study history it will tell you. Ushauri...usiongelee au kuchangia jambo ambalo hulijui au huna uhakika nalo kwa sababu biblia inasema mwanadamu atakula matunda ya kinywa chake pia inasema mauti na uzima vi katika kinywa cha mtu. Hakuna neno ambalo mtu atasema likakosa baraka au laana kwa mtu huyo. Period

There is tendence that most people judge other people basing on perception of other people, This is really bad kwani imeandikwa usihukumu, maana ni kwa kipimo kilekile utakachotumia kitatumika kwako. Mfano hapa watu kufanya usafi kwenye eneo lao ni issue. Kumbuka kwamba ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
 
Hivi waumini wake washaanza kudeposit sadaka ktk benki yake (efatha bank) na kisha kuwasilisha slip ktk makapu ya sadaka?? Najua wengi tutachomwa jahanamu ila kuna wengine watakuwa kuni za wengine.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe wasema kuwa amejiita,,for your information ameitwa na Mungu thats why biblia inatuambia utamjuaje nabii wa ukweli na uongo?jibu rahisi nabii wa ukweli ni yule anayetamka jambo likatokea na wa uongo ni yule anayetamka jambo lisitokee,
.tunaanza sasa,unamjua aliyekuwa akijiita sheikh yahaya huseni,wakati wa kampeni alisema kuna mgombea mmoja wa urais atakufa unakumbuka ilikuwa 2010?je kuna aliyekufa?
Watumishi wa MUNGU aliye hai nao kama ni mfatiliaji wa magazeti kuna mmoja akasimama akasema hakuna mgombea atakayekufa ila atakayekufa ni huyo anayejiita sheikh yahya,,,je huyo aliyejiita sheikh yahaya alimaliza hata mwaka?alikufa......
Mpaka hapo utaona nani zaidi MUNGU wa Mwingira ama miungu wa bahari(yahaya alkiyekuwa anafuga majini)
Mwingira ana kesi ya Ubakaji . Amekuwa anamubaka Mke Wa Mbuya na kesi ipo Mahakani tusubili kwanza Suluhu la kesi hii ndipo uje ulete utetezi wako!!
 
Tabia hizi nimeziona sana Tanga. Mwislam inanamkosea mtu mwingine asiiye mwislam katika mazingira ya pilika pilika za maisha ya kila siku. Huyo mwislam anapodhibitiwa utasikia akisema "Waislam wenzangu njoni mnisaidie wananionea". Lakini wao kwa wao wakikoseana na kudhibitiana haswa kwa matusi maana ndicho kipaji chao, husikii mtu akiita wa waislam wenzake.

Hadi kundi hili listaarabike na kuwa na uelewa japo wa kawaida, Kweli tunasafari ndefu yenye shughuli pevu. Nadhani sasa ni muda muafaka kwa Waislam viongozi wenye upeo, wakaanzisha mafunzo rasmi ya kuwafundisha watu wao ustaarabu wa maisha na kutokuwa na fikra mgando za kukimbilia kwenye udini na kulazimisha kupindisha sheria ziwafuate wao hata pale pasipostahili. Vinginevyo watazidi kujidhalilisha usoni pa dunia na kuonekana kama kundi linalokuwepo duniani kwa bahati mbaya ama kwa lengo la kutimiza makusudi ya shetani katika uso wa dunia.
 
Marekebisho, sio anayejiita bali ni Mtume na Nabii J.E. Mwingira. Ask God about this man.

Kuvamia. Hakuna uvamizi wowote bali lile eneo lote ni la Huduma la Efatha (Efatha Ministry). Mikataba ya kulinunua ipo na ilioneshwa kwenye vyombo vya habari. Ni eneo la Huduma hivyo ni maamuzi ya huduma kufanya chochote wakati wowote. Hakuna mwislamu yeyote mwenye hati ya kile kiwanja. Simple question hivi walivyo na kelele wangekuwa na evidence mkononi kunge kalika DSM?

Kuchoma moto.
Hapana hakuna moto uliochomwa bali ni usafi na kuweka tayari eneo kwa ajili ya upanuzi wa kanisa ili injili isonge mbele. Pia jambo hili halikufanywa usiku bali ni mchana kweupe siku ya Christmass pamefanyiwa usafi hata sasa vijana wanaendelea na usafi unaweza kwenda kuwaona ukitaka.

Naona tu ni jitihada tu za shetani za kutafuta namna ya kujiinua against the power of Gospel. Hakuna aliye jaribu kuzuia injili akashinda hata sikumoja wapi gadafi, wapi sadam wapi id amin na wengine wanafuata. Study history it will tell you. Ushauri...usiongelee au kuchangia jambo ambalo hulijui au huna uhakika nalo kwa sababu biblia inasema mwanadamu atakula matunda ya kinywa chake pia inasema mauti na uzima vi katika kinywa cha mtu. Hakuna neno ambalo mtu atasema likakosa baraka au laana kwa mtu huyo. Period

There is tendence that most people judge other people basing on perception of other people, This is really bad kwani imeandikwa usihukumu, maana ni kwa kipimo kilekile utakachotumia kitatumika kwako. Mfano hapa watu kufanya usafi kwenye eneo lao ni issue. Kumbuka kwamba ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.

Umetoa utetezi Mzuri na unaonekana nu Muumini wa Efatha!!!
Usiwafanye watu kuwa hawana akili!!!
Kuna kesi Mahakamani ambapo Mwingira na Watu wake wamesha hojiwa kwa kosa la Kudharau Mahakama!!!
Kama hilo ni eneo la Efatha kwa nini Wavamie Usiku??
Mikataba ya umiliki wa eneo Mwingira anapaswa kuipeleka mahakani ili apate haki yake na sio kwenye Vyombo vya habari???
Suala la Kubaka Mke Wa Mbuya lilikuwa hivi hivi na bado anajiita Nabii?? Ni Nabii gani Mbakaji??
Hatuna haja na mali zake kwa kuwa wapo matajiri wengi wanafanya zinaa huku wanafanya biashara!!
 
Back
Top Bottom