Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona sasa huo mgawinyiko unakawia?
 
Labda kama maombi yangu hayana kazi ndo nikiombee chama ichi, Mungu alishakifuta kiutawala chama ichi , labda nabii atwambie yeye Mungu wake ni yupi, ambae ni tofauti na wetu
 
Huyo nabii wa mchongo anatakiwa achapwe makofi na fimbo nyingi sana shenzi yake kabisa 😑😑 yani anataka watu wamuombee shetani 😑😑 ana akili kweli huyo😑😑 mpumbavu mmoja huyo 😑😑
 
Huyo nabii wa mchongo anatakiwa achapwe makofi na fimbo nyingi sana shenzi yake kabisa 😑😑 yani anataka watu wamuombee shetani 😑😑 ana akili kweli huyo😑😑 mpumbavu mmoja huyo 😑😑
We ndo hujaelewa,

Amewaasa watubu kabla ya maombi.

Unaamini CCCM watakubali kutubu?
 

Ni sawa na mimi sasa hivi kusema, kesho itakuwa jumanne, tuiombee sana nchi yetu.

Hapo hakuna unabii, mwambieni huyo mtu afanye kazi za uzalishaji mali aache ujanja ujanja na kutafuta umaarufu.
Mwaka wa uchaguzi tutaona na kuskia mengi. Tumeshuhudia migao ya Sola, pkpk, baiskeli ...nk. Hawa hawakuguswa wanaamini walsahaulika - wanataka mgao wao kwani wanajiona sehem muhim ktk kutabiri mambo ya jamii. Bado wengne Mungu yuko njiani anaelkea kwao, watakuja na "Mungu katutokea kuh. mwaka mpya 2024 kuh CCM."Nami natabiri watakuja!! Wanatia kichefchef
 
RC anaposema wazi kuwa Kuna mawaziri wanamtukana mkubwa wao, huo ni mtikisiko.
 

Huyu nabii yuko kanisa moja na Nabii Tito ??
 
Mimi nataka wauane kwa maelfu ili nchi ipone
 
RC anaposema wazi kuwa Kuna mawaziri wanamtukana mkubwa wao, huo ni mtikisiko.
Kabisa !
Na RC mwingine naye alisemaga wapo mawaziri wanatafuta pesa huko nje ili wagombee URais 2025 !
Je tuamini upo mpasuko au walikuwa wanapima maji kwa mguu ??
Na kwamba kwa sasa wameshajua maji yamejaa hawawezi kuyavuka. ??! πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…