Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Nabii wa mchongo [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sasa huo mgawinyiko unakawia?Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Omba wewe uliye na huo mudaCCM imeshikamana na mihimili ya Dola yote,
Kutikisika Kwa CCM, ni kutikisika Kwa nchi,
Hivyo tuombee mtikisiko uwe salama.
Labda kama maombi yangu hayana kazi ndo nikiombee chama ichi, Mungu alishakifuta kiutawala chama ichi , labda nabii atwambie yeye Mungu wake ni yupi, ambae ni tofauti na wetuSalaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Kwa hiyo tuiombee itubu?Ndo nasema,
Wewe huoni haja ya CCM kutubu na kubadili uelekeo juu ya namna wanavyoongoza wananchi?
Hapana watubu kwanza KABLA ya kuombewa.Kwa hiyo tuiombee itubu?
How?anafwata nyota ya sheikh yahya hussein mmh
We ndo hujaelewa,Huyo nabii wa mchongo anatakiwa achapwe makofi na fimbo nyingi sana shenzi yake kabisa 😡😡 yani anataka watu wamuombee shetani 😡😡 ana akili kweli huyo😡😡 mpumbavu mmoja huyo 😡😡
Kuna tofauti ya Mungu na MUNGU wewe unasemea yupi?What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Mwaka wa uchaguzi tutaona na kuskia mengi. Tumeshuhudia migao ya Sola, pkpk, baiskeli ...nk. Hawa hawakuguswa wanaamini walsahaulika - wanataka mgao wao kwani wanajiona sehem muhim ktk kutabiri mambo ya jamii. Bado wengne Mungu yuko njiani anaelkea kwao, watakuja na "Mungu katutokea kuh. mwaka mpya 2024 kuh CCM."Nami natabiri watakuja!! Wanatia kichefchef
Ni sawa na mimi sasa hivi kusema, kesho itakuwa jumanne, tuiombee sana nchi yetu.
Hapo hakuna unabii, mwambieni huyo mtu afanye kazi za uzalishaji mali aache ujanja ujanja na kutafuta umaarufu.
Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Mimi nataka wauane kwa maelfu ili nchi iponeSalaam, Shalom.

Kabisa !RC anaposema wazi kuwa Kuna mawaziri wanamtukana mkubwa wao, huo ni mtikisiko.
Hakikisha unaiombea CCM.Bwana asifiwe