Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kumbe hata ukristo huujui

Kuna 7 th day Adventists, Kuna Mormon
 
Mgawanyiko utasaidia kupata mgombea mpya mzuri asieyumbishwa na magenge ya Msoga Wala sukuma gang wala visiwani!!

Hata 2015 mgawanyiko ulituletea jpm ngoja tuone 2025 utatuletea nani
Najaribu kufikiri kwa nguvu zote lakini nashindwa kuelewa ni akina nani wenye ubavu wa kumuengua Mwenyekiti kutoka kwenye kinyangโ€™anyiro ๐Ÿ˜ณ

Sioni mtu mwenye ubavu huo !
 
Sheikh ni cheo gani katika uislamu? Hata Karume sr akiitwa Sheikh alikuwa na elimu gani ya dini??
Sheikh kwa lugha ya kiarabu ni mtu mwenye umri mkubwa lakini pia itakuwa na maana nyingine tena inayofanana na hiyo !

Mtu anayeheshimiwa etc. !
 
Sheikh kwa lugha ya kiarabu ni mtu mwenye umri mkubwa lakini pia itakuwa na maana nyingine tena inayofanana na hiyo !

Mtu anayeheshimiwa etc. !

Hiyo ni katika lugha ya kiarabu lakini sio uislamu
 
Najaribu kufikiri kwa nguvu zote lakini nashindwa kuelewa ni akina nani wenye ubavu wa kumuengua Mwenyekiti kutoka kwenye kinyangโ€™anyiro ๐Ÿ˜ณ

Sioni mtu mwenye ubavu huo !
Sio mtu Bali mfumo!

Samiah ni mtu tu,na uenyekiti ni cheo TU na uamiri jeshi mkuu TU lakini samiah sio mfumo unaojitegemea na mifumo IPO inayoonekana na isiyoonekana!!

Samiah Hana uwezo was kuchakata kila taarifa iliyopo mezani pale !anategemea watu hawezi kujilinda mwenyewe anategemea watu !!

Ni mjinga pekee anaeamini samiah ndio kila kitu !samiah ni tone kubwa katika matone meeengi yanayomzunguka!hawezi kuona Kila kitu kilicho sirini hata Sasa Kuna baadhi ya mambo yanaendelea hayajui Hadi aambiwe!!

Marehem jpm amenifunza jambo Moja kuu kwamba Rais sio kila kitu kwenye mfumo coz Kuna mambo hata afanyaje hatajua!!

Usimpe hatimiliki ya nchi mtu mmoja Bali mfumo atajipitisha kuwa mgombea lakini kama mfumo haupo upande wake atakua mgombea hewa!!

ELEWA NILICHO ANDIKA!WAKATI JPM ANAPORA UCHAGUZI HAKUJUA KAMA ATAHITAJI WABUNGE WA UPINZANI AKASAIDIWA KWA MLANGO WA NYUMA!!

RAIS SIO KILA KITU BALI NI SEHEM YA MFUMO ULIOPO LAKINI ANATEGEMEA MFUMO HUO HUO UMSAIDIE KAMA MFUMO HAUNA MSAADA KWAKE Atakua passive
 
Urais au Uenyekiti ni taasisi kubwa sio mtu mmoja !
 
Bado Sijui maana ya unabii, waje wajuzi wa masuala haya watuelimishe kwani siku hizi manabii wamekuwa wengi na unabii umekuwa mwingi hadi tunachanagnyikiwa.
 
Mzee Kinana naye out,

Je ni mtikisiko au mkakati wa ushindi?
 
Aliyekuwa DC wa Longido, anazidi kuthibitisha mgawanyiko huo ndani ya chama kwakweli!!

Tusubiri!
 
Kila Karibu na uchaguzi hizi tunduja huleta these obvious predictions

Nalaaabukkk
 
Sina muda wa kuombea chama, watajuana wenyewe
Mambo ya kuombea ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ