Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mgawanyiko wa CCM unawahusu nini Watanzania hadi wapoteze muda kuwaombea hao CCM?

CCM ni chama cha siasa kama vyama vingine, wakiyumba ni chama kimeyumba na wenye kuombea hilo lisitokee ni wana CCM wenyewe na chama chao
Soma comment No. 22
 
Nabii hajasema kuwa CCM ni ya milele,

Amesema muda mrefu ujao.

Pitia video hiyo, IPO

POG family tv- Nabii Sanga.
Weee umepitia umeshaiona inatosha. Sina ujinga wa kuwatazama manabii wa uongo.

Siamini kama kuna Nabii yeyote sasa hivi.


Wajinga ndiyo waliwao.
 
Lete wewe ushahidi.

Esther ni mfanyabiashara.
Kumbe hata jina humjui angalia kwenye post za mwigulu anamwita mke wangu Neema mwigulu nchemba...sasa nenda fb page hata kwenye page ya huyo pastor anzia hapo july 1 2023 kushuka chini utaona video zake nyingi..means prophet atakuwa amesafiri ,na ana more than 5 years anahubiri hapo
 
Salaam, Shalom.

Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama

Source: POG family Tv.
Yaani kuna malaika, roho mtakatifu na Mungu huko mbinguni wanajua uwepo wa CCM?
 
Nabii Asante.
Sasa kama Kuna mgawanyiko wa kugombea fits wakati nyumba ni moja ya kwao sisi tunawaombea nini!?
Labda useme tunawaombea badala ya mgawanyiko yaani wabomoke kabisa mafisadi Hawa wanaojidai kumsifia aliowapa mkate na kuwaruhusu mwendo wa kamba yao.
Na waporomoke tu hata sisi wenyewe humu ndani tunaona mashida tu.
 
Huyu Sanga namfahamu tangu akiwa ACG Makongo Juu, huo unabii kapakwa mafuta na nani?
 
Huyo ni nabii wa aina gani ambae hawaoni wapinzani bali aiona CCM tu katika miujiza yake?

Angefanya pia maombi kwa upinzani ili nao uweze kupata ushawishi ili wachaguliwe na wananchi.
 


Pumbavu kabisa, kwa nn nisiombee nchi niombee ccm?
 
TENA wa KUDINI kwa Wanachama wake Wacha Wagawanyike CCM INA MATENDO YA KISHETANI SANA kwa WATANZANIA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
CCM na Dola ni sawa na nguo iliyoshonwa pamoja na ngozi Kwa kudariziwa!!

Haiwezekani kuifumua, labda kuitatua, ndipo mzizi wa maombi ulipo.

Karibu.

CCM ni CCM na serikali ni serikali...

Kitu pekee hao watu wa CCM wanapaswa kufanya ni wao kuambiwa watubu...
 
Huyu atakuwa ndugu yake na TB Joshua.
 

Ni sawa na mimi sasa hivi kusema, kesho itakuwa jumanne, tuiombee sana nchi yetu.

Hapo hakuna unabii, mwambieni huyo mtu afanye kazi za uzalishaji mali aache ujanja ujanja na kutafuta umaarufu.
Una akili sana.big up!
 
Itakuwa jambo jema ili chadema washike nchi….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…