Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Huyu Nabii ana akili sawasawa kweli ....!!?

Yaani Watanzania wawaombee Wezi, Mafisadi na Wadhulumaji ...... Mimi ninachojua ni kwamba adui yako muombee njaa. Sasa yeye anawaombea Neema....!!
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duuuh kuna Nabii Mkinga
 
Na ye Sasa ameanza kuzingua
 
Bila kideo umbea
 
Nabii itakuwa ada imekata anataka akina Mwigulu wamkumbuke
 
Yaani kuwambia CCM kutubu anazingua vp!!
Kasema watubu?
Mbona naona amesema muwoombee?
Watumishi wa Mungu wazuri wakishaanza hizi nabiiza matangazo wachache wanabaki kwenye line

Bora awaambie hukohuko kanisani waombe isiwe public 😅
 
Tutolee upuuzi hapa unapiga kampeni kijanja unadhani sisi hatuna akili? Kwendra zako kafie huko
 
Kasema watubu?
Mbona naona amesema muwoombee?
Watumishi wa Mungu wazuri wakishaanza hizi nabiiza matangazo wachache wanabaki kwenye line

Bora awaambie hukohuko kanisani waombe isiwe public 😅
Kawaida, kabla ya maombi, lazima TOBA itangulie,

Ndo KANUNI hiyo.
 
Yaani nipoteze muda wangu kukiombea chama Cha kijambazi!.CCM ikifa itakua furaha ya wengi kwasababu ni watu wa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…