Nabii Shilla afanye unabii wake bila uchochezi. Yaliyoamriwa kijeshi asiyatumie kama mtaji wa kujipatia waaumini

Umeandika mengi lakini nakataa hatua ya kutaka kumnyamazisha nabii.

Ikiwa amedanganya mshtakini, kama ameongea ukweli basi kijana apate haki yake. Tutumie sheria na si vitisho.

Tupendane wabongo.
Nlikuwa simjui uyo shilla! Siku moja ktk kipindi cha gerezani sjui channel gan ile wanamuhoji mr akamuona naskia anampigia rafiki yake eti naona yule jamaa alokutapeligi saivi anajiita nabii! Sjawai kutaka kujihusisha kujua shilla ni nani tena......wanakumbatia matapeli kupitia miavuli ya dini
 
Hahah
 
Sijui kama huyu kijana ni nabii wa kweli. Mungu anisamehe. Nabii anaingia bar, anacheza pool table za bar. May be ni ujana, naomba Mungu amsaidie
 
Back
Top Bottom