Nlikuwa simjui uyo shilla! Siku moja ktk kipindi cha gerezani sjui channel gan ile wanamuhoji mr akamuona naskia anampigia rafiki yake eti naona yule jamaa alokutapeligi saivi anajiita nabii! Sjawai kutaka kujihusisha kujua shilla ni nani tena......wanakumbatia matapeli kupitia miavuli ya dini