Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

Mpumbavu....... kulikuwa na haja gani ya kututajia majina ya hao covid 19 ?
 
Kwahiyo Esta Bulaya, Halima Mdee na Nandy ndio wanaomhujumu, basi sawa
 
Huu upumbavu ufike mwisho sasa!

Wanamhujumuje hao watu?

Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?

Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Leo kwa mara ya kwanza ninakubaliana nawe.

Hakuna anayemhujumu Samia. Kama inaonekana kuna hujuma, basi ni Samia mwenyewe ndiye anayejihujumu.

Kuna watu wengi tu, kwa sababu za unafiki wao huwa hawataki kutambua kwamba rais anazo akili za kufikiri na kuamua mambo.

Hata akishauriwa, anao utashi wa kukubali au kukataa ushauri. Anapokubali ushauri na matokeo yake yakawa mabaya, basi alaumiwe yeye, na siyo waliomshauri.
 
Si ndo keshawaambia hivyo?
Kawaambia kwa mipasho?
Anatafuta tension tu kanisani kwake.
Eti watakufa kisa wanamhujumu Rais!
Manabii wa zamani hata akikosea Rais walimfuata instantly na kumwambia ukweli bila kuogopa jela wala kifo.
Huyu Suguye kamsifia Magufuli baada ya jiwe kufa anaanza kujipendekeza kwa Samia
 
Hili wala lisupuuzwe. Kuna rule imeundwa ndani ya rule. SH asipochukua hatua, atashangazwa sana.

Kwa sasa kazi kubwa kundi hili inayoifanya ni kuhakikisha SH anachukiwa na makundi yote. Likikamilika hilo, atakapoondolewa, kila mtu aunge mkono.
 
Ni ujumbe kutoka mbinguni!
 
Eti anahujumiwa😆😆,, we are excusing incompetence now
Rais Samia mpaka sasa ni bora mara 200 kuliko Magufuli.


Hahujumiwi na mtu yeyote.

Wala hakuna mtu mwenye uwezo wa kumhujumu Rais wa Tanzania labda atake mwenyewe.

Nyingine ni stori tu kama stori nyingine kwasababu wabongo tunapenda Ubuyu na kabobo, lazima tuzungumze.

Binafsi naona mambo yanaenda vizuri tu.
 
Aseee mkuu basi mimi nina mawazo tofauti na ya kwako...Naona nchi iko autopilot
 
Hapa nabii amepewa taarifa na wauaji kwahiyo yeye amekuja kuwaandaa watu
 
Mamlaka tupieni jicho manabii feki hawa. Wanatumikishwa na wanasiasa walioko dhoofu hoi bin tabaan.
 
Jamaa kashangaa kwa kuandika jina Halima...nimemuongezea jina la mbele la Halima ajue kuwa ana vinasaba vya Kikristo kwamba jina Halima pekee lisimchanganye
Pia jina tu halitoshi kumfanya mtu asiamini anacho kijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…