Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Mungu yupi aliyemtokea???Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nataka kufahamu hawa wanao mhujumu Rais Samia wanatoka CCM au upinzani? Nauliza tu!!Ni zaidi ya watatu, Nabii yuko sahihi.
Wewe unasali wapi?Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Mwagito kuwa na adabu kidogoKanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya
Yaani unajiuliza maswali mengi unakosa majibu mama ana nyenzo zote sasa wanamhujumuje mpaka yeye asijue?Huu upumbavu ufike mwisho sasa!
Wanamhujumuje hao watu?
Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?
Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Jina lenyewe umejiita magu ndio umpende mama kweli?lakini mkuu ushauri wangu kwako si umfuate hukohuko huyo magufuli wako msituharubie nchi sasa hivi.watu tumetulia sasa hiviAcha uhuni wewe mbwa!
Kikulacho kimo humohumoNataka kufahamu hawa wanao mhujumu Rais Samia wanatoka CCM au upinzani? Nauliza tu!!
Hivi wanapata wapi muda wa kuingia tu muda wote kwa rais na kumwambia hayo rais sio balozi wa nyumba kumi unayeweza kumuona muda wote hata makamu wa rais kumuona rais ni kwa appointment mkuu.Mkuu wa hilo kundi ni Mwigulu Nchemba wapo Majaliwa yule mrundi VP, Ndugai, zero, Ndugulile na Tulia. Wiki ya nne sasa hakuna Waziri wa Ulinzi kwa sababu kundi hilo linadai nafasi hiyo ni nyeti hivyo ni lazima awe mtu wanayemkubali wao.,
Mbona ulichelewa kutabiri?Ni zaidi ya watatu, Nabii yuko sahihi.
mungu kamtokea?Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Kwani aliyaandika hawezi kuwa Usalama ?Kwa hiyo Samia anahujumiwa, na usalama hawajui, washauri wake wa karibu hawajui, ila nyie mbugula mbugila wa huku mtaani ndio mnajua?
Kufa kila mtu atakufa hilo jambo halihitaji utabiri lipo tuNabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Wewe ni utopolo tu. Kuhusu Mama tunaendelea naye vizuri tu mlifikiri atakuwa upande wenu wanautopolo lakini sasa hivi Faru John a.k.a Gaidi yuko ananyea debe tu. Sisi tunachapakazi na mama yetu mpendwa! Mtasubiri sana!Jina lenyewe umejiita magu ndio umpende mama kweli?lakini mkuu ushauri wangu kwako si umfuate hukohuko huyo magufuli wako msituharubie nchi sasa hivi.watu tumetulia sasa hivi
Ukisikia manabii wa uwongo , ndo Hawa ! Wote watakufa akiwemo huyo nabii wa uwongo , anaehujumiwa na wengine wote ! Kama kweli umeoneshwa hao wahujumu , kwanini umeshindwa kuwataja ?! Uoneshwe alafu unakuwa mnafiki kuwaficha ?!Mganga njaa mwingine katika ubora wake!
Kwani kufa ni ajabu!??kila mtu atakufa,haihitaji kumuhujumu Raisi Ili ufe!!!
Kufa ni lazima hata yeye "nabii"atakufa.
Stupidity of highest order
wataje sasa tuwajue unaogopa nini ndugu mchungaji aka nabii ? Unakosa uthubutu kama wa Yohana mbatizaji wakati na wewe unajiita Nabii ?Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv