JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Ameishaona fulsa ya kuzuga watu na mazonge yake!!Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Kama ni zaidi ya watatu basi nabii hayuko sawa.Ni zaidi ya watatu, Nabii yuko sahihi.
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Hakukuwa na haja ya kusema nan anasali na nani hasaliNabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Kwani unabii unapatikana vipi? natamani kuwa nabiiNabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Halima James Mdee...
Duh....!Leo December 26 Kuna Jambo Nabii Suguye Kalitabiri,Kwangu Nimebaki Kutetemeka,Kaigusa Serikali,Katabiri Viongozi Wa Serikali na Kidini Kwenda Safari ya Mbali,Kama Hawatatubu na Kumrudia Shauri Zao,Pia Kamtaja Sangoma Tegemewa Kuwa Siku Zake Zinahesabika Lazma Aende Safari ya Mbali,Kasema Tuzidishe Maombi Wabaya wa Mh Rais Wamemtega Mara Kadhaa Wakamkosa,Na Sasa Wamemroga,Pia Kasema Tumuombee Spika,Mmemsikia Leo?
Tuliombee Taifa Letu Sana,Manabii Hawa Sio Wa Kupuuza Hata Kidogo.
Tuwaombee Viongozi Wetu.
Leo December 26 Kuna Jambo Nabii Suguye Kalitabiri,Kwangu Nimebaki Kutetemeka,Kaigusa Serikali,Katabiri Viongozi Wa Serikali na Kidini Kwenda Safari ya Mbali,Kama Hawatatubu na Kumrudia Shauri Zao,Pia Kamtaja Sangoma Tegemewa Kuwa Siku Zake Zinahesabika Lazma Aende Safari ya Mbali,Kasema Tuzidishe Maombi Wabaya wa Mh Rais Wamemtega Mara Kadhaa Wakamkosa,Na Sasa Wamemroga,Pia Kasema Tumuombee Spika,Mmemsikia Leo?
Tuliombee Taifa Letu Sana,Manabii Hawa Sio Wa Kupuuza Hata Kidogo.
Tuwaombee Viongozi Wetu.
πππππNgoja tuquote kwa ajili ya kuja kuunga dots baadaye...
Spika naye ni wa kuombewa kweli? Mzee wa Galilaya yule yupo vizuri π
Huyo mwongo tu,anatumia uchawi hakuna unabii mleNi zaidi ya watatu, Nabii yuko sahihi.
Basi uchawi wake uko sahihi.Huyo mwongo tu,anatumia uchawi hakuna unabii mle
Hauko sahihi,Basi uchawi wake uko sahihi.