Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
 
View attachment 3078826
Sasa hapo kajipodoa ili iweje🤣
 
Hapa mbona mimi sijaona tatizo. Kasema yesu ni Mgogo na Mtume Mohamad ni Mrangi. Unatakiwa kumpinga kwa hoja kwa Yesu asiwe mgogo na Mtume asiwe Mrangi maana mimi na wewe hamna aliyekuwepo ku=indi cha Mitume hao wa Mungu. Inawezekana hao mitume ni Waafrika kwa asili.
 
Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Umeamua kumchoma?
Ritz
 
Muacheni Nabii Tito hana baya, kwani kuna alikotukana hapo?

Hiyo makeup sijui kapakwa na mkewe? Wanaume kama mwanamke wako hakupi sapoti kama mke wa Nabii Tito hakufai.
 
haha. Dah,

mara ya kwanza nakutana na huyu jamaa alikua anahamasisha watu wanywe pombe.
Halina shida hilo, lingeweza pia kufanywa na mtu mwingine yeyote mwenye akili timamu na lisisumbue. Shida ni changamoto zake za akili.
 
Ila kuwa na imani yoyote kuhusu hayo mambo , lazima nati zifyatuke .
downloadfile-37.jpg
 
Mimi ni muislam na nataka nikujulishe kuwa hapo hakuna kosa lolote litakalo mfanya aadhibiwe na waislam maana hajautukana uislam wala hajafanya kosa lolote linalogusa hisia ya muislam hajapinga hata kimoja katika uislam
 
Back
Top Bottom