Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa hapo kajipodoa ili iweje🤣Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Hapa mbona mimi sijaona tatizo. Kasema yesu ni Mgogo na Mtume Mohamad ni Mrangi. Unatakiwa kumpinga kwa hoja kwa Yesu asiwe mgogo na Mtume asiwe Mrangi maana mimi na wewe hamna aliyekuwepo ku=indi cha Mitume hao wa Mungu. Inawezekana hao mitume ni Waafrika kwa asili.Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
kabisa. kioa mtu na imani yake.Hiyo ni imani yake kama wewe ulivyo na ya kwako. Piga kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe na huyo Tito inabidi mpimwe akili zenu.
Umeamua kumchoma?Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Muacheni Nabii Tito hana baya, kwani kuna alikotukana hapo?Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Halina shida hilo, lingeweza pia kufanywa na mtu mwingine yeyote mwenye akili timamu na lisisumbue. Shida ni changamoto zake za akili.haha. Dah,
mara ya kwanza nakutana na huyu jamaa alikua anahamasisha watu wanywe pombe.