Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

Yaani jamaa hata kama dishi limeyumba kuna agenda anapenyeza na mamlaka zitakuwa zimemuacha makusudi kwakuwa zinafurahishwa na mbinu yake ya kupenyeza agenda husika.

Otherwise, angegusa siasa asingeachwa salama
 
Nawakubali sana, wakiamua kucheza muziki wanacheza wote.
Halafu wana watoto wazuri hatari.
Huyu jamaa ni WA siku nyingi sana, mwaka 2011 aliwahi kunikuta bulls park pale survey napiga msosi ndo kipindi naanza chuo akawa ananiletea swaga zake na mavazi hayo ya kiutumishi nikawa simuelewi.....

Kipindi hicho simjui, alivyofika na mavazi yake na misalaba nikawa namjibu kwa adabu tu, baadae ananiambia piga vyombo mwanangu na kama una house girl kwako piga usimuache๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ nikabaki nashangaa tu
 
Nabii Tito muhuni, mi pia namkubali kitambo sana.

Kipindi wamemkamata niliwamind sana polisi, hana baya Nabii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ