Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Mambo yake aachiwe mwenyewe...
Mke wake ni bikra mwenyewe watoto watatu... Alafu ati anampa hongera sana... Anachapiwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yake aachiwe mwenyewe...
Sikuhizi kuna watumishi wa Mungu wanawehuka vibaya sana walaiMambo yake aachiwe mwenyewe...
Mke wake ni bikra mwenyewe watoto watatu... Alafu ati anampa hongera sana... Anachapiwa...
Bikira na watoto tena?Nawakubali sana, wakiamua kucheza muziki wanacheza wote.
Halafu wana watoto wazuri hatari.
Ni kweli kabisa ndugu.Ukiangalia utitiri wa makanisa ulivyo siku hizi na aina ya viongozi wao pasua kichwa, pamoja na aina ya mafundisho/mahubiri yao kwa jamii zetu,...tungekuwa na serikali yenye viongozi makini na wanaojali,haya makanisa yangedhibitiwa na hata kufutwa kabisa.Yaani jamaa hata kama dishi limeyumba kuna agenda anapenyeza na mamlaka zitakuwa zimemuacha makusudi kwakuwa zinafurahishwa na mbinu yake ya kupenyeza agenda husika.
Otherwise, angegusa siasa asingeachwa salama
Hawa ni Watumishi wa mungu yule mwovu,wa kuzimu.Sikuhizi kuna watumishi wa Mungu wanawehuka vibaya sana walai
Huenda anatumwa kuyumbisha mijadala migumu ya umma
Bega mwa bega mama,ukiona aibu wewe wengine ndio kabisaaaa.Nilichojifunza ni kuwa supportive kwa mume wangu kama mke wa Nabii Tito 🤣🤣
HUYU ni mwendawazimu mwenye PHD
Mwenyewe mbona alisema alishaacha jamani? Wala hafanyi siri.