GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Bikra kapataje mimba na kuzaa watoto watatu?
Yeye na huyo mke wake madishi yao yameyumba?
Yeye na huyo mke wake madishi yao yameyumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara! Njemba tunazidi kuangamia na ushoga!
Ila nahisi hayuko sawa, ni kama kipa katoka hivi. Maana kitengo cha kuhisi aibu kwenye ubongo wake kimezima kabisa.Nabii Tito muhuni, mi pia namkubali kitambo sana.
Kipindi wamemkamata niliwamind sana polisi, hana baya Nabii.
Serikali inamchekea tu
Una mapenzi hata shetani angeyaogopa.Nilichojifunza ni kuwa supportive kwa mume wangu kama mke wa Nabii Tito 🤣🤣
Ya nyuma ndo anaongelea naona 🤣🤣🤣Bikra kapataje mimba na kuzaa watoto watatu?
Yeye na huyo mke wake madishi yao yameyumba?
Sasa unaona kabisa hayuko sawa kichwani, unataka serikali wamfanyeje? Kama ni msaada wa matibabu alishapewa akaingia mitiniSerikali inamchekea tu
Sio unahisi b..., uko sahihi. Sasa mimi huo uchizi wake ndio namkubali hadi basi. Huwa ananifurahisha mno, unajua ile unatokea tu kumkubali mtu regardless? Ndivyo nilivyo kwa Tito.Ila nahisi hayuko sawa, ni kama kipa katoka hivi. Maana kitengo cha kuhisi aibu kwenye ubongo wake kimezima kabisa.
Ova
TULIA UFERWE ACHA KUPUYANGA
Anaambukiza wengine, huyo mkewe kaambukizwa maradhi na sasa yanakwenda kwa waumini wengineSasa unaona kabisa hayuko sawa kichwani, unataka serikali wamfanyeje? Kama ni msaada wa matibabu alishapewa akaingia mitini
Hizo ni hisia zako tu mkuu, unaijua background ya huyo mwanamke? Unafikiri ni hatua gani serikali ichukue dhidi yake? Siyaoni madhara yoyote ya maana kutoka kwa huyu mtu.Anaambukiza wengine, huyo mkewe kaambukizwa maradhi na sasa yanakwenda kwa waumini wengine
Wale wanakesha makanisani kwa manabii bila kufanya kazi na kuzaa watoto wa mitaani wanatokea kwa watu kama hawaHizo ni hisia zako tu mkuu, unaijua background ya huyo mwanamke? Unafikiri ni hatua gani serikali ichukue dhidi yake? Siyaoni madhara yoyote ya maana kutoka kwa huyu mtu.
Mbona huyu wafuasi wake hata 50 hawafiki, muanze na yule anayekusanya watu zaidi ya 200K na kuwahadaa kila kukicha. Nadhani serikali imeamua kutokuwalinda raia wake dhidi ya hawa matapeli. Tatizo laweza kuwa ni serikali yetu na wala si huyo TitoWale wanakesha makanisani kwa manabii bila kufanya kazi na kuzaa watoto wa mitaani wanatokea kwa watu kama hawa