Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

Mbona huyu wafuasi wake hata 50 hawafiki, muanze na yule anayekusanya watu zaidi ya 200K na kuwahadaa kila kukicha. Nadhani serikali imeamua kutokuwalinda raia wake dhidi ya hawa matapeli. Tatizo laweza kuwa ni serikali yetu na wala si huyo Tito
Yule amefanyiwa mapokezi makubwa Arusha jana
 
Yule amefanyiwa mapokezi makubwa Arusha jana
Hakika, serikali iliyoshindwa kutekeleza majukumu yake ya msingi hujificha nyuma ya vichaka vya hawa matapeli wa kiimani. Huku viongozi wakuu wakiwa mstari wa mbele kuwafanyia promo. Hii ni dalili ya jamii iliyokata tamaa, isiyoona namna ya kujikwamua na matatizo ambayo kwa wenzetu walio serious wala hayawasumbui. Unaendaje kutoa 500K ili binadamu mwenzako akuombee kwa Mungu upate ajira, upande, cheo, ujenge nyumba, mwanao afaulu mitihani, nk nk nk,
 
Watu wa namna hii nawapenda Sana, wako busy na life walilolichagua Ila wale wanaojiona wazima wako busy kufatilia wagonjwa wasio na habari nao.
 
Sio unahisi b..., uko sahihi. Sasa mimi huo uchizi wake ndio namkubali hadi basi. Huwa ananifurahisha mno, unajua ile unatokea tu kumkubali mtu regardless? Ndivyo nilivyo kwa Tito.
Labda unamkubali kwa ukituko wake. Na ukituko huo anao kwa sababu kipa katoka.

Ova
 
Hii ni dalili ya jamii iliyokata tamaa, isiyoona namna ya kujikwamua na matatizo ambayo kwa wenzetu walio serious wala hayawasumbui
Nimekutana njiani na muumini wa nabii mmoja anaimba "...ametenda maajabu nami siwezi kueleza..." ukimtazama amevaa nusu kandambili, suruali ameifunga na kipande cha tai, nikajiuliza kama sasa yuko hivi je kabla ya kutendewa maajabu alikuwaje?
 
Hivi, huyu jamaa ana agenda gani?

Kwanini anaachwa?

Mimi nakusshangaa wewe heading yako, unayosema kasema "mimi nimzaliwa hanisi". Nimeisikiliza clip sikumsikia aliposema hivyo, nilichosikia ni kasema yeye "ametengenezwa hanisi", kutengenezwa na kuzaliwa ni vitu tofauti.

Vipi umebadili maneno?
 
Mwanamke anakaa tu na mwana na sio mwanaume. Kumbuka mwana + uume = mwanaume. Hanisi ni sawa tu na mwana.
 
Huyu alifungwa,..akataka kujiua Kwa kujikata na wembe tumboni..wakamwachia ...pale dodoma..Sasa hivi karudi uraiani..anaendlea na harakati zake za kishwaini...
 
Back
Top Bottom