Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

Xxxxxx unbelievable! Huyu hanithi amemzalisha mke watoto watatu.
Kama yule mama yetu wa Nazareth aliyekuwa anaitwa bikira ingawa alikuwa ana watoto lukuki.
Halafu huyu Nabii Tito ndie yule aliyekuwa anawahubiria boda boda,anawaambia waache ufuska.
 
Ila nahisi hayuko sawa, ni kama kipa katoka hivi. Maana kitengo cha kuhisi aibu kwenye ubongo wake kimezima kabisa.

Ova
Sio unahisi b..., uko sahihi. Sasa mimi huo uchizi wake ndio namkubali hadi basi. Huwa ananifurahisha mno, unajua ile unatokea tu kumkubali mtu regardless? Ndivyo nilivyo kwa Tito.
 
Sasa unaona kabisa hayuko sawa kichwani, unataka serikali wamfanyeje? Kama ni msaada wa matibabu alishapewa akaingia mitini
Anaambukiza wengine, huyo mkewe kaambukizwa maradhi na sasa yanakwenda kwa waumini wengine
 
Anaambukiza wengine, huyo mkewe kaambukizwa maradhi na sasa yanakwenda kwa waumini wengine
Hizo ni hisia zako tu mkuu, unaijua background ya huyo mwanamke? Unafikiri ni hatua gani serikali ichukue dhidi yake? Siyaoni madhara yoyote ya maana kutoka kwa huyu mtu.
 
Hizo ni hisia zako tu mkuu, unaijua background ya huyo mwanamke? Unafikiri ni hatua gani serikali ichukue dhidi yake? Siyaoni madhara yoyote ya maana kutoka kwa huyu mtu.
Wale wanakesha makanisani kwa manabii bila kufanya kazi na kuzaa watoto wa mitaani wanatokea kwa watu kama hawa
 
Tanzania ukiwa mtu wa hovyo ndiyo unapewa mileage.

Imagine hapo Kuna mtu alikuwa ana warekodi na kutuma maudhui yao mitandaoni as if ni jambo jema

Tangu lini Mwanamke akazaa watoto na bado akaendelea kuwa Bikra.

Labda kama ana maanisha Bikra ya nyuma lakini kama ni ya Mbele, aende akawadanganye watoto wenzake huko sio sisi Wazee wa mwaka 47 😜🙌
 
Wale wanakesha makanisani kwa manabii bila kufanya kazi na kuzaa watoto wa mitaani wanatokea kwa watu kama hawa
Mbona huyu wafuasi wake hata 50 hawafiki, muanze na yule anayekusanya watu zaidi ya 200K na kuwahadaa kila kukicha. Nadhani serikali imeamua kutokuwalinda raia wake dhidi ya hawa matapeli. Tatizo laweza kuwa ni serikali yetu na wala si huyo Tito
 
Back
Top Bottom