Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.
Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

... Mungu amelipa kisogo taifa! Hiyo ndio tafasiri ya tukio lile! Wakaendelea kushupaza shingo, ameondoka waziri wa ulinzi! Hayo ni maandishi ukutani bro; ayaonaye mambo haya na afahamu!
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.
Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...