Nabii wa Mungu ampa Rais Samia Ujumbe wa Mwisho "Mama Fungua Kanisa" unamgusa Mungu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mimi binafsi niliwahi Sema humu, "Rais Azungukwe na Watu wa Dini, Wazee wa Hekima na Busara ".

Ni hatari sana Rais Masikio yake yasikie habari za Uchawi, Waganga, na Mambo ya Hovyo kama hayo

Ndio hao wanamwambia "Mama Fungua tu Hilo Kanisaz kwanza Gwajima ni MTU wa Shetani, fungiaaaa ".

Uovu wa Mwanadam upo Ndani ya Misikiti ,upo Ndani ya Makanisa

Lkn Uovu huo haijawahi kufanya Waliowaaminifu Kwa Mungu wao, wapuuzwe na Mungu.

Ikumbukwe, Ndani ya Kanisa wapo watu Waumini wa kweli ,watiifu Kwa Mungu wao, ambao Maisha yao walishampa Mungu, Mungu anawasikiliza Kwa Upendo wa hali ya juu sana.

Kufungia Makanisa ambayo Ndani mwake wapo waamini ambao Mungu anawapenda anawajali Kwa namna ambavyo wanamuinua, ni sawa na kutangaza Vita dhidi ya Mungu mwenyewe.

Hapa Chini ni Nabii ambaye Kwa Upendo amempa Ujumbe wa Mwisho Rais Samia kabla Mungu hajamoa Adhabu

View: https://youtu.be/Aes0TvhhvFM?si=htqtAClN9FtojFui
 
Tapeli
 
Nadhani ana washauri kibao...
Kuna stivo, mwijaku, babalevo, moto, mapete na wengine wenye akili kama hizo!

Mshauri wake mkuu ni mkwe wake.

Kupitia watu wenye kiburi kama huyu bibi, kwa vile wana vile tu ana ibilisi anayemtegemea, ndipo ukuu wa MUNGU huja kuonekana.

Kwa uovu aliowtendea watanganyika, hakika watu wataushuhudia ukuu wa MUNGU. Yaweza isiwe leo, yaweza isiwe kesho, lakini yeye na wana wake na wana wa wana wake, lazima watafikiwa na laana za damu za watanganyika aliowateka na kuwaua.
 
Yafanyike kwa haraka Watanganyika wengi wakiwa hai!
 
Mimi binafsi niliwahi Sema humu, "Rais Azungukwe na Watu wa Dini, Wazee wa Hekima na Busara ".

Ni hatari sana Rais Masikio yake yasikie habari za Uchawi, Waganga, na Mambo ya Hovyo kama hayo

Ndio hao wanamwambia "Mama Fungua tu Hilo Kanisaz kwanza Gwajima ni MTU wa Shetani, fungiaaaa ".

Uovu wa Mwanadam upo Ndani ya Misikiti ,upo Ndani ya Makanisa

Lkn Uovu huo haijawahi kufanya Waliowaaminifu Kwa Mungu wao, wapuuzwe na Mungu.

Ikumbukwe, Ndani ya Kanisa wapo watu Waumini wa kweli ,watiifu Kwa Mungu wao, ambao Maisha yao walishampa Mungu, Mungu anawasikiliza Kwa Upendo wa hali ya juu sana.

Kufungia Makanisa ambayo Ndani mwake wapo waamini ambao Mungu anawapenda anawajali Kwa namna ambavyo wanamuinua, ni sawa na kutangaza Vita dhidi ya Mungu mwenyewe.

Hapa Chini ni Nabii ambaye Kwa Upendo amempa Ujumbe wa Mwisho Rais Samia kabla Mungu hajamoa Adhabu

View: https://youtu.be/Aes0TvhhvFM?si=htqtAClN9FtojFui

Kagame aliyefunga makanisa 3000,ingekuwaje?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mshauri wake mkuu ni mkwe wake.

Kupitia watu wenye kiburi kama huyu bibi, kwa vile wana vile tu ana ibilisi anayemtegemea, ndipo ukuu wa MUNGU huja kuonekana.

Kwa uovu aliowtendea watanganyika, hakika watu wataushuhudia ukuu wa MUNGU. Yaweza isiwe leo, yaweza isiwe kesho, lakini yeye na wana wake na wana wa wana wake, lazima watafikiwa na laana za damu za watanganyika aliowateka na kuwaua.
Sikuwahi kuona mtu aliyekuwa mkatili kumpita magufuli.
 
Upande wa makanisa, ambao ndiyo umevamiwa sana ilipaswa,regulation ziboreshwe,kuomba kibali kiambatane na atleast diploma in theology! And other upper religion degree/doctrine!,itasaidia sana,dini yetu kutochezewa ovyo,mpaka kwenye filamu.
 
Back
Top Bottom