Nabii wetu ni mlevi kupindukia

Nabii wetu ni mlevi kupindukia

RPC ni cheo kikubwa?
Huyo hawezi kuwa tiss hata kidogo.
Huyo dogo ana akili ndogo sana.
Kuna siku tulikuwa wote waiting room/ lounge Julius Intr...msumbufu sana na ana utoto mwingi yaani alinichosha balaa
Pole Sana kwa kukuchosha.
Jamaaa ni tapeli anadaiwa furniture hajalipa na kala mbususu ya miss kate bure hajalipa.
Anadaiwa.
 
Si unajua wasanii hao,wanaangalia biashara ya sanaa yao...Mimi naona ni waigizaji kwenye kivuli cha uchungai....kuna mwingine Mchungaji Mayamba naye alianza kuigiza uchungaji kwenye movie za Kanumba ila leo ni Mchungaji anakula sadaka za kondoo.
Huyu myamba juzi kati kanisani kwake eti Noel Gio alienda toa ushuhuda.
Na myamba akalipia ads kabisa ushuhuda wa noel.
Mimi nilijua kuwa anashuhudia kaacha ushoga kumbe nashuhudia kaacha kiburi cha umaarufu.
 
Nilikuwa nasikia sikia tu kuna nabii kijana anaitwa shilla nilizani huduma yake itakuwa Kama Hawa wengine kina mwamposa na mzee wa upako sasa nilipokuja kuicheki ile interview na maeneo aliyopo kiukweli nilistaajabu
 
Huyu mayamb juzi kati kanisani kweli etu Noel Gio alienda toa ushuhuda.
Na mayamba akalipi ads kabisa ushuhuda wa noel.
Mimi nilijua kuwa anashuhudia kaacha ushoga kumbe nashuhudia kaacha kiburi cha umaarufu.

Inasikitisha sana,uchungaji ni deal,ukiwapanga vizuri watoa ushuhuda unapata kondoo wa kutosha na hatimaye wanakupa utajiri kwa kukuchangia sadaka.
 
Hamna cha TISS wala nn. Huyo ni mtu katengeneza tu kamrija kake ka kunyonyea pesa na kamekaa mkao. Acha ale maisha
Bongo za wabongo zina hitilafu zilizo nyingi na zisizo mithilika,fikiria bongo wapo akina Mackenzie wangapi wanawazika wabongo wakiwa hai.
 
Sijawahi kuelewa hawa matapeli huwa wanawezaje kuwabrain wash wanakondoo na wanambuzi wawapatie fungu la kumi.
Eti pombe hazijaguswa. So, kumbe pombe mbaya lakini unaruhusiwa kupiga nayo picha.
Huenda sasa tuseme ni Nabii wa walevi na kundi lake ni lawalevi.
 
Back
Top Bottom