mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
AiseNa Sasa Tuna Mchungaji MC Pilipili Washawasha.
Dini zinachezewa
Washaona kuna fursa huko
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseNa Sasa Tuna Mchungaji MC Pilipili Washawasha.
Kunywa kidogo
Aise
Dini zinachezewa
Washaona kuna fursa huko
Ova
Bro unajua kinachoongelewa hapaKabisa,kuuziwa sabuni nimeanza kuona late 80s lakini mpaka kesho watu wanauziwa miche ya sabuni.
Wa kuwashangaa ni hao Kondoo wa Shilla.
Bro unajua kinachoongelewa hapa
HeeeeeeSi unajua wasanii hao,wanaangalia biashara ya sanaa yao...Mimi naona ni waigizaji kwenye kivuli cha uchungai....kuna mwingine Mchungaji Mayamba naye alianza kuigiza uchungaji kwenye movie za Kanumba ila leo ni Mchungaji anakula sadaka za kondoo.
Yule chalii siku hizi Ni mchungaji?MaajabuSi unajua wasanii hao,wanaangalia biashara ya sanaa yao...Mimi naona ni waigizaji kwenye kivuli cha uchungai....kuna mwingine Mchungaji Mayamba naye alianza kuigiza uchungaji kwenye movie za Kanumba ila leo ni Mchungaji anakula sadaka za kondoo.
Kuna mmoja yeye ibada yake ameamua kuwajambia waumini [emoji1787] wonders shall never end
Haha hahah hahah kumbe samakiHuyu shila anavyotembea tu Ni Kama marinda Yake wahuni walishapita nayo kitambo tu.
Kunywa sio mbaya. Ubaya ni kusema watu wasinywe wakati wewe unakunywaKunywa kidogo
Ndo yeye..Hivi huyu nabii shillah ndo mmiliki wa Duka la mavazi linaitwa hivyo Billionaire Shillah liko maeneo ya Studio
RPC ni cheo kikubwa?
Huyo hawezi kuwa tiss hata kidogo.
Huyo dogo ana akili ndogo sana.
Kuna siku tulikuwa wote waiting room/ lounge Julius Intr...msumbufu sana na ana utoto mwingi yqni alinichosha balaa
Tofautisha Rank na cheoRPC ni cheo kikubwa ndugu yangu
Kuna wengi sana wamefikaga mpaka unaibu kamishna ila mpaka wanastaafu hicho cheo wamekisikia tuu kwa wengine tena wengi sana
Upo kahama sehem ganiHamna cha TISS wala nn. Huyo ni mtu katengeneza tu kamrija kake ka kunyonyea pesa na kamekaa mkao. Acha ale maisha
Tofautisha Rank na cheo