mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acha kudharau kazi za watuNi TISS huyo.....hapo yupo kazini.kuweni makini naye. Baba yake ana cheo kikubwa Central!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudharau kazi za watuNi TISS huyo.....hapo yupo kazini.kuweni makini naye. Baba yake ana cheo kikubwa Central!
Usitafute sababu ya kumkwepa Mungu.dini haina uhusiano wowote na matendo ya Mtu.Ndio maana dini na imani zake zimekosa ushawishi siku hizi. Watu wanaona bora wapambanie life tu na sio kwenda kwenye nyumba za ibada kwa sababu ya watu kama huyu.
Cheo hasa za U RPC ni vyeo vya kupeana kimkakati ili kuwatumikia wanaowapa...naweza nisieleweke lakini najua 100% nisemachoFor sure
Wenye rank zenye hadhi ya kupewa u"RPC" wengi sana tena mamia kwa mamia wamejaa tu pale makao makuu ila wanapata wachache
Halafu miaka ya karibuni ni karibia kila Polisi aliepata nyota akiwa na umri mdogo atafikia rank hizo
Wanajiongezea umasikini tuWapo Hadi watembeza samaki mitaani
Kuna mmoja yeye ibada yake ameamua kuwajambia waumini [emoji1787] wonders shall never end
Acha wafu wazikaneKabisa,kuuziwa sabuni nimeanza kuona late 80s lakini mpaka kesho watu wanauziwa miche ya sabuni.
Wa kuwashangaa ni hao Kondoo wa Shilla.
Yaani watu nikama wapofuTulia kwanza wajinga wanatakiwa waongezeke wawe wengi
Yule chalii siku hizi Ni mchungaji?Maajabu
SahihiUsitafute sababu ya kumkwepa Mungu.dini haina uhusiano wowote na matendo ya Mtu.
wewe umeona wapi nalaumu? unajua maana ya lawama?Kuna mtu humu anaitwa Citizen B, huyo sijui ni me sijui ni ke whatever lkn yeye katika hili la upumbavu wa nabii shillah, lawama zake zote kwa shekhe ponda na waislam unadhani labda wao ndio waliomtuma,, ngojeni aje muone
Kahama tena mkuu.Upo kahama sehem gani
Niliikubali sana intelligencia ya cdm huyu alitaka ubunge angekivuruga chama sana.Tuwaheshimu TISS jamani hivi Shila ana akili za kuwa hata mgambo wa kufukuza machinga?
Shila ni mtoto, muongo muongo sana, tapeli halafu ana uwezo wa kuchukua mstari wa Biblia akaubadilisha anavyotaka yeye sio Biblia inavyotaka. Ni dogo hatari sana atapeleka wengi motoni.Niliikubali sana intelligencia ya cdm huyu alitaka ubunge angekivuruga chama sana.
Na hiyo miradi pesa amepata wapi?! Hadi kukodi ndege?Shila ni mtoto, muongo muongo sana, tapeli halafu ana uwezo wa kuchukua mstari wa Biblia akaubadilisha anavyotaka yeye sio Biblia inavyotaka. Ni dogo hatari sana atapeleka wengi motoni.
Vijana kama Hawa sio wa kuwashabikia sana mostly ni wauza unga what they show off ni wanaficha the business behind their wealth ukijichanganya wanakugeuza punda you just carry drugs for them wakikuaminisha ni wewe pekee wanakuamini kumbe akiwa na kilo tano anazigawa kwa wati ishirini hata watano wakikamatwa yeye Hana hasara maana 15 wamefikisha mzigo na black market Ina faida maradufu Hana hasara huwa wanajua kilo hata moja au mbili lazima itapotea na mtu au kudhulimiwa au kukamatwa.View attachment 2003941
View attachment 2003943
Nabbing wetu akigonga vyombo na washikaji wake
- Amarula
- Most
- Jack Daniel
Anaweza akawa informer tu, hata hahitaji akili nyingiTuwaheshimu TISS jamani hivi Shila ana akili za kuwa hata mgambo wa kufukuza machinga?
Yani mtu ukache dini yako sababu ya watu kama hawa...basi hukuwahi kuielewa au hukuisoma kabisa dini yakoNdio maana dini na imani zake zimekosa ushawishi siku hizi. Watu wanaona bora wapambanie life tu na sio kwenda kwenye nyumba za ibada kwa sababu ya watu kama huyu.