Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
 
Unataka kusemaje mkuu? au mawimbi yanayumnishwa na upepo?
 
Ulikuwa ba hoja nzuri mkuu lakini uwasilishaji wako baadhi hawataelewa bado unaweza ukaongezea nyama
 
Mmeletewa mada mpya mjadili kupotezwa nyeti zenu

Ova
 
Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
Wale unaowaita wasomi wanaopotezwa na kihiyo kama ida amina mama walipata kile kiitwacho education for ignorance.
 
uyo dr. Kihiyo wako uliyemtaja yuko bize na hao wasomi wa ufisadi kuibaganza nchi.
 
Back
Top Bottom