Nachoona kuhusu single Mothers

Sasa si ndiyo wanaume watasema sio wife material maana wataonekana jeuri juu ya misimamo yao?
 
Umeandika kwa uchungu sana mkuu
 
Sauti imetosha mkuu.
 
Umeanza vizuri ila mwishoni umechafua,
unaleta tena mawaswala ya hela, heee 🀣🀣🀣🀣🀣
 
NIMEKUKUBALI SANA,YAANI HII POST NI YA KWELIII.
Utasikia oooh kesho ndo naenda kuonana nae Mara ya kwanza nimpe staili Gani,nimfanyie Nini.
Ikitokea mwanaume hajamgusa anaenda FB kuomba ushauri eti mbona hajanigusa au ATAKUWA hasimamishi.πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­.
KIZAZI CHA WANAWAKE WA HOVYOOOO KUTOKEA.
 
Hivi hata mweye watoto zaidi ya watatu nae ni single mather...?
Au anaweza kuwa single mather..?
 
Tuone :- Mwanaume hajakuoa , hatambuliki kwenu vile mmekutana tu unaenda unampa mwili tena bila ya kutumia kinga kwa kudhani tu jambo hilo labda litaongeza mapenzi yake kwako

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Sawa lawama kwa single mothers, ila kila mtu akiplay part yake vizuri itasaidia, mfano mwanaume unajua kabisa huna malengo na huyo mdada wa watu basi muache mapema na siyo kumlaghai hadi kufanya naye mapenzi bila kinga , then katoto kakiingia unaruka viunzi, starehe ya wote lawama kwa mmoja hapana.

Hivi wadada tukiamua kukaza kwamba ukitaka tunda , hadi twende kwa wazazi wakujue unayemendea tunda la mtoto wao, hali ingekuaje.?(just thinking out loud)
 
Hali ingelikua mbaya sana
 
Nilitaka niandike tukio moja ila nimefuta , hawa mademu sometimes siyo kabisa kinachowaponza ni kutokua na subira tu.
Hiyo stail ya kushika mimba yuko tayari hata apewe mimba na mtu asiempenda ili akambambikie mtu wake anaempenda lakin mwisho wake huwa mbaya.
 
Tusiwalaumu sana, mana kuna wengine wamezalishwa wadogo hawajielewi, na wengine wamezaa kwa mihemko ya foolish age ... loving the wrong...
Kubeba mimba ni kitendo kidogo sana, ila akili ya kufikiria yatakayotokea baada ya kupata mimba inahitaji akili kubwa kidogo ambazo wengi wanakua hawanazo ila wanakuja kupevuka mawazo baadae
 
Uongo
 
Unaskini ni kitu kibaya sana...πŸ˜“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…