Pesa/uhuru wa kiuchumi hauwezi kuwa mbadala wa mwanaume kwenye maisha ya mwanamke hata siku moja, hao mabinti zake hata wakija kuwa na hizo pesa Bado Kuna kitu lazima tu watahisi wanakikosa maishani mwao bila uwepo wa mwanaume..... Nisiandike sana Fanya uchunguzi kwa wanawake wenye vihela hela vyao hapa bongo wanaoishi bila wanaume uone kama wako sawa kisaikolojia.Ishu hapo ni kuomba uzao wako mabinti wawe na akili za kujitegemea. Kila kitu kinabaki sehemu yake.
Shída ya usingle mother inakuja pale Wanawake ni tegemezi.
Walee binti zako wawe na uwezo wa kujitafutia, Attitude Yao iwe ya kujitegemea bila kutegemea pesa ya mwanaume. Alafu uone kuna kima atawachezea.
Pesa sio substitute ya mwanaume na haiwezi kuwa hata siku moja.