Nachoona kuhusu single Mothers

Nachoona kuhusu single Mothers

Ishu hapo ni kuomba uzao wako mabinti wawe na akili za kujitegemea. Kila kitu kinabaki sehemu yake.
Shída ya usingle mother inakuja pale Wanawake ni tegemezi.

Walee binti zako wawe na uwezo wa kujitafutia, Attitude Yao iwe ya kujitegemea bila kutegemea pesa ya mwanaume. Alafu uone kuna kima atawachezea.
Pesa/uhuru wa kiuchumi hauwezi kuwa mbadala wa mwanaume kwenye maisha ya mwanamke hata siku moja, hao mabinti zake hata wakija kuwa na hizo pesa Bado Kuna kitu lazima tu watahisi wanakikosa maishani mwao bila uwepo wa mwanaume..... Nisiandike sana Fanya uchunguzi kwa wanawake wenye vihela hela vyao hapa bongo wanaoishi bila wanaume uone kama wako sawa kisaikolojia.

Pesa sio substitute ya mwanaume na haiwezi kuwa hata siku moja.
 
Nimejaribu kuassume wanawake wote wenye watoto na wasio na watoto wakiamua hakuna kutoa mpaka ndoa na wakasimamia huo msimamo hali watakayokuwa nayo vijana wa hovyo.
Wanawake hawana ujasiri huo kwa sababu wengi wao wanayumba kiuchumi na kutoa utelezi ni namna ya kumaliza shida/tamaa zao. Wanaume wakiweka mgomo wa kuonga kundi kubwa la wanawake ndio watapata shida.
 
Ninachojua mimi kwa sasa Single mothers wanaisikiliza sana nyimbo hizi:-
1. Shuu! by Aslay
2. Upo single by Zabron Singers

Ili tu wajifariji na kuwaumiza baba za watoto wao.
 
Sawa lawama kwa single mothers, ila kila mtu akiplay part yake vizuri itasaidia, mfano mwanaume unajua kabisa huna malengo na huyo mdada wa watu basi muache mapema na siyo kumlaghai hadi kufanya naye mapenzi bila kinga , then katoto kakiingia unaruka viunzi, starehe ya wote lawama kwa mmoja hapana.

Hivi wadada tukiamua kukaza kwamba ukitaka tunda , hadi twende kwa wazazi wakujue unayemendea tunda la mtoto wao, hali ingekuaje.?(just thinking out loud)
Tatizo lipo pale kadada kanapolazimisha kuzaa na mwanaume yani anamtegeshea mwanaume hadi apate mimba yake,unakuta mwanaume hakuwa hata na malengo naye ,wapo wengine wanaodiriki hata tuzae nitalea mwenyewe,badae anaanza usumbufu
 
Pesa/uhuru wa kiuchumi hauwezi kuwa mbadala wa mwanaume kwenye maisha ya mwanamke hata siku moja, hao mabinti zake hata wakija kuwa na hizo pesa Bado Kuna kitu lazima tu watahisi wanakikosa maishani mwao bila uwepo wa mwanaume..... Nisiandike sana Fanya uchunguzi kwa wanawake wenye vihela hela vyao hapa bongo wanaoishi bila wanaume uone kama wako sawa kisaikolojia.

Pesa sio substitute ya mwanaume na haiwezi kuwa hata siku moja.
Kweli kabisa: issue ni kupata mtu sahihi tu baasi, kama tatizo lingekuwa ni pesa, hawa dada zetu (wasanii) wasingekuwa single mothers
 
Mliwapumzisha saizi kumekucha tena......Mungu epushia mbali kikombe hiki kwenye uzao wangu wotee
eti "mliwapumzisha"

hili la single mother linawakera vijana, hawajalizoea!

Vijana wapewe muda walizoee ama mabinti waachane na utaratibu unaowafikisha kwenye u-single mother?
 
eti "mliwapumzisha"

hili la single mother linawakera vijana, hawajalizoea!

Vijana wapewe muda walizoee ama mabinti waachane na utaratibu unaowafikisha kwenye u-single mother?
Haya Mambo ya kuzaa mara nyingi ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe, yeye ndo anaamua abebe mimba au la!

Kuna baadhi ya makabila ambayo binti akiolewa hawezi kuachika kizembe, na akiachika (kuvunja ndoa) au kuzalia nyumbani anapewa jina la kumdhalilisha, wengine hufikia hatua ya kumtenga..

Hiyo inafanya mabinti wawe makini na chaguzi zao kabla hawajaingia kwenye ndoa
 
100% mkuu

Shida baadhi (yetu) tunafikiri usasa ni pamoja na kukosa staha na kujivunjia heshma.

Ujauzito bila utaratibu inaakisi kujivunjia heshma. Maana mwanadamu kwenye jambo lake shurti afikiri kwanza kabla hajatenda.
 
Single mother wengi wamejitakia wenyewe waishi hivyo hawataki kuishi na mwanaume ili wawe huru kufanya uhuni wao. Hawataki kuolewa kwa kuwa wanaona wana uwezo wa kifedha kutunza watoto peke yake bila baba
kama wanajitakia, mbona wanalalamika sasa?
 
Tatizo lipo pale kadada kanapolazimisha kuzaa na mwanaume yani anamtegeshea mwanaume hadi apate mimba yake,unakuta mwanaume hakuwa hata na malengo naye ,wapo wengine wanaodiriki hata tuzae nitalea mwenyewe,badae anaanza usumbufu
Huo sasa ni usingle mother wa kujitakia, ila pia kwanini mwanume ucum ndani ikiwa huna malengo na mtu?🤸‍♀️
 
kama wanajitakia, mbona wanalalamika sasa?
single mother wengi ni wasomi na wajasiriamali ni wajeuri kwa kuwa wanajiweza kifedha hawana time na mwanaume waishi nae, wanazaa na mwanaume wanayemtaka awapatiea mimba. Hao wanaolialia ni hohehahe hawana mbele wala nyuma kiuchumi ni tegemezi waliopigwa shoo kiholela wakapata mimba kizembe bila kuzaa na mwanaume atakayewajibika kutunza mtoto na yeye pia
 
single mother wengi ni wasomi na wajasiriamali ni wajeuri kwa kuwa wanajiweza kifedha hawana time na mwanaume waishi nae, wanazaa na mwanaume wanayemtaka awapatiea mimba.
Hao wanaolialia ni hohehahe hawana mbele wala nyuma kiuchumi ni tegemezi waliopigwa shoo kiholela wakapata mimba kizembe bila kuzaa na mwanaume atakayewajibika kutunza mtoto na yeye pia

Mwamba andiko umeliweka kibabe sana!

Amini nakwambia, hakuna mwanamke mwenye ujasiri wa kufanya uliyoandika kwenye aya ya Kwanza akiwa peke yake. Hii haitotokea leo wala kesho. Hakuna. Niamini!

Tuncat Almas Orchestral miaka Ile ya tisini waliimba ngoma inaitwa "Uzuri wangu". Wimbo ule ulibeba maudhui ya mwanamke mrembo sana, mwenye fedha na mali. Lakini alilia upweke wa kutokuwa na mume! Hii ni kweli hata leo.

Nikiwa miongoni mwa wachache tuliopata ku-interact na wanawake wakiwa kama marafiki, wapenzi, colleagues, work mate, ndugu na jamaa ninakuhakikishia, wanawake wote uliowataja kwenye kundi la kwanza ni majeruhi tu wanaotafuta fursa za kupendwa upya. Shida wanayopata ni wenye kuwamudu na kusawazisha maumivu yao hawana nafasi. (Those men they need are occupied).

Nisikuchoshe, just come up with a simple hypothesis, then gather data, analyze..., utanishukuru baadae!
 
Nimejaribu kuassume wanawake wote wenye watoto na wasio na watoto wakiamua hakuna kutoa mpaka ndoa na wakasimamia huo msimamo hali watakayokuwa nayo vijana wa hovyo.
Itakuwa hatari sana 🤣🤣🤣🤣🪑🪑
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mambo yao waachie wenyewe, hayanaga muongozo...
 
Ishu hapo ni kuomba uzao wako mabinti wawe na akili za kujitegemea. Kila kitu kinabaki sehemu yake.
Shída ya usingle mother inakuja pale Wanawake ni tegemezi.

Walee binti zako wawe na uwezo wa kujitafutia, Attitude Yao iwe ya kujitegemea bila kutegemea pesa ya mwanaume. Alafu uone kuna kima atawachezea.
Sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom