Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
AyseeeeShida sio hizo shida ni wao wenyewe kutojielewa yani unashikaje mimba kiholela holela kama hujisomi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AyseeeeShida sio hizo shida ni wao wenyewe kutojielewa yani unashikaje mimba kiholela holela kama hujisomi.
Sasa si ndiyo wanaume watasema sio wife material maana wataonekana jeuri juu ya misimamo yao?Ishu hapo ni kuomba uzao wako mabinti wawe na akili za kujitegemea. Kila kitu kinabaki sehemu yake.
Shída ya usingle mother inakuja pale Wanawake ni tegemezi.
Walee binti zako wawe na uwezo wa kujitafutia, Attitude Yao iwe ya kujitegemea bila kutegemea pesa ya mwanaume. Alafu uone kuna kima atawachezea.
Kwani wenyewe hawana nyege?Nimejaribu kuassume wanawake wote wenye watoto na wasio na watoto wakiamua hakuna kutoa mpaka ndoa na wakasimamia huo msimamo hali watakayokuwa nayo vijana wa hovyo.
Sasa si ndiyo wanaume watasema sio wife material maana wataonekana jeuri juu ya misimamo yao?
Umeandika kwa uchungu sana mkuuWw bado haujitambui,
Tunapozungumzia single mother tunamaanihsha ni mwanamke ambae anaishi na mtotoh bila ya kuwa na baba,
Single mother wapo wa aina nyingi,
Wapo waliofiwa na waume zao,
wapo walioachika
Wapo waliobakwa
Wapo waliozalia nyumbani nk.
Ktk jali ya ukawaida haupaswi kumlaum single mother jwa sababu haujui nn kimetokea mpaka amekuwa single,.
Wengine wapo single kwa sababu baada ya kuzalishwa baba zao waliwakataa wanaume zao, yaanj baba mzazi wa binti amemkataa mwanamme ambae amemzalisha bint yake,
Kabla haujahukumu unatakiwa kujua kwann huyu amekuwa single??
Rafiki yangu aliowa bint ambae amelelewa na single mother,
Huyu mama aliolewa na akazaa watoto 4 huyu mtoto wa nne akiwa na miezi 10 baba akafariki, mama hakukubali kuolewa kwa sababu zake binafsi akalea watoto wake mpka walipokuwa wakubwa, upo nyonyo??
Hata mimi nimeona hilo .... Ase!Umeandika kwa uchungu sana mkuu
Sauti imetosha mkuu.Kutoa mahari au kwenda ukweni au ndoa sio sababu ya kuzuia single mother.
Ishu inakuja pale ambapo Wanawake kutokukutana na mtu sahihi katika mahusiano yao. Au mwanaume kutokukutana na mtu sahihi wa kutaka kumuoa.
Hata ukioa au ukiolewa kama sio mtu sahihi lazima muachane tuu
NIMEKUKUBALI SANA,YAANI HII POST NI YA KWELIII.Habari Za Muduu Wote Wana jamii forum
Nimeona Kumekuwapo Mijadala Mingi humu Kuhusiana na Suala zima la (SINGLE MOTHERS) Kwa tafsiri ya Mama aliyekimbiwa na baba wa mtoto japo single mothers ina maana pana.
Lakini mimi sitotaka kwenda kwenye matokeo ya single mothers nataka nichungulie kidogo chanzo kwa ufinyu wa mawazo yangu.
Kwanza naomba kutoa takwimu zangu ambazo sio rasmi kwamba Asilimia 80 ya Single Mothers (waliokimbiwa na wanaume baada ya kushika mimba au kupata mtoto) Walipata mimba au watoto hao pasi na kuolewa.
Sasa basi Kwa Nionavyo mimi Dada zetu ninyi wenyewe kwa asilimia 80% ndio mnachangia nyie wenyewe kua single mothers na hiyo asilimia 20% ndio wanaume.
Tuone :- Mwanaume hajakuoa , hatambuliki kwenu vile mmekutana tu unaenda unampa mwili tena bila ya kutumia kinga kwa kudhani tu jambo hilo labda litaongeza mapenzi yake kwako
Tuone 😛engine hata anapokaa hupajui vile mnakutana juu kwa juu then mnaenda guest unampa mwili bila kutumia kinga.
Tuone:- utakuta mwanmke anamtegea mwanume ili apate ujauzito kwa kuzani tu kwamba kwa kufanya hivyo atamweka mwanume huyo karibu zaidi na yeye ... Kwahiyo hapa anajikuta bila kushauriana na mwanaume yeye hujichukuria maamuzi yake peke yake.
Shida imekua kwenu sikuhizi dada zetu penzi limekua kama njia moja wapo ya kujipatia kipato lakini mnakua mnasahau kutazama mbele na matokeo ya utafutaji huo ..
Sina mengi jamani Dada Nawaheshimu sana.
Hivi hata mweye watoto zaidi ya watatu nae ni single mather...?Habari Za Muduu Wote Wana jamii forum

MatherHivi hata mweye watoto zaidi ya watatu nae ni single mather...?
Au anaweza kuwa single mather..?
Hali ingelikua mbaya sanaSawa lawama kwa single mothers, ila kila mtu akiplay part yake vizuri itasaidia, mfano mwanaume unajua kabisa huna malengo na huyo mdada wa watu basi muache mapema na siyo kumlaghai hadi kufanya naye mapenzi bila kinga , then katoto kakiingia unaruka viunzi, starehe ya wote lawama kwa mmoja hapana.
Hivi wadada tukiamua kukaza kwamba ukitaka tunda , hadi twende kwa wazazi wakujue unayemendea tunda la mtoto wao, hali ingekuaje.?(just thinking out loud)
Hii ndio sababu KubwaShida imekua kwenu sikuhizi dada zetu penzi limekua kama njia moja wapo ya kujipatia kipato lakini mnakua mnasahau kutazama mbele na matokeo ya utafutaji huo
UongoNi kweli. Wengi wapo hivyo.
Lakini tatizo sio usinge mother kama inavyoripitiwa ila tatizo ni wanawake wengi ni tegemezi. Na ndio maana binti za tibeli(binti za kifalme) lazima wawe na uhuru wa kiuchumi.
Hata wakiishi bila mume kwao sio tatizo ikiwa hawajapata mwanaume sahihi.
Wengi ambao sio single mother Huko ndoani wanateseka kishenzi, kinachowaweka huko ni kwa sababu hawana pakwenda na wanasubiri ugali wa bure
Umeelewa swali.. 😂😂😂😂Mather