Nachoona kuhusu single Mothers

Single mama again , waacheni hawa watu bhana Hamjui wanayopitia . Mnaowazalisha na kuwatelekeza ni ninyi mnaolalamika daily, Malipo n hapa hapa duniani mtakua na mabinti na nyie tena MUNGU awaweke na afya muone watakavyokua.
 
Dah
 
Kaandae upyaaa uko mwishoni umearibu
 
Tatizo siyo kwenda kwa wazazi tatizo je, tumekubaliana kuzaa. Shida yenu mnatuambiaga mwagia ndani nitalea mwenyewe tukikataa mnatuona hamnazo na kutuweka vibarazani .
 
Hivi kweli unakubaliana na kauli ya kulea mwenyewe, Mtoto wenu wote then alee mwenyewe why? Na unaamini kabisa na unamwaga kweli ndani? Bora kuwekwa vibarazani tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…