Nachoona kuhusu single Mothers

Nachoona kuhusu single Mothers

Single mama again , waacheni hawa watu bhana Hamjui wanayopitia . Mnaowazalisha na kuwatelekeza ni ninyi mnaolalamika daily, Malipo n hapa hapa duniani mtakua na mabinti na nyie tena MUNGU awaweke na afya muone watakavyokua.
 
Single mama again , waacheni hawa watu bhana Hamjui wanayopitia . Mnaowazalisha na kuwatelekeza ni ninyi mnaolalamika daily, Malipo n hapa hapa duniani mtakua na mabinti na nyie tena MUNGU awaweke na afya muone watakavyokua.
Dah
 
Habari Za Muduu Wote Wana jamii forum

Nimeona Kumekuwapo Mijadala Mingi humu Kuhusiana na Suala zima la (SINGLE MOTHERS) Kwa tafsiri ya Mama aliyekimbiwa na baba wa mtoto japo single mothers ina maana pana.

Lakini mimi sitotaka kwenda kwenye matokeo ya single mothers nataka nichungulie kidogo chanzo kwa ufinyu wa mawazo yangu.

Kwanza naomba kutoa takwimu zangu ambazo sio rasmi kwamba Asilimia 80 ya Single Mothers (waliokimbiwa na wanaume baada ya kushika mimba au kupata mtoto) Walipata mimba au watoto hao pasi na kuolewa.

Sasa basi Kwa Nionavyo mimi Dada zetu ninyi wenyewe kwa asilimia 80% ndio mnachangia nyie wenyewe kua single mothers na hiyo asilimia 20% ndio wanaume.

Tuone :- Mwanaume hajakuoa , hatambuliki kwenu vile mmekutana tu unaenda unampa mwili tena bila ya kutumia kinga kwa kudhani tu jambo hilo labda litaongeza mapenzi yake kwako

Tuone 😛engine hata anapokaa hupajui vile mnakutana juu kwa juu then mnaenda guest unampa mwili bila kutumia kinga.

Tuone:- utakuta mwanmke anamtegea mwanume ili apate ujauzito kwa kuzani tu kwamba kwa kufanya hivyo atamweka mwanume huyo karibu zaidi na yeye ... Kwahiyo hapa anajikuta bila kushauriana na mwanaume yeye hujichukuria maamuzi yake peke yake.

Shida imekua kwenu sikuhizi dada zetu penzi limekua kama njia moja wapo ya kujipatia kipato lakini mnakua mnasahau kutazama mbele na matokeo ya utafutaji huo ..

Sina mengi jamani Dada Nawaheshimu sana.
Kaandae upyaaa uko mwishoni umearibu
 
Sawa lawama kwa single mothers, ila kila mtu akiplay part yake vizuri itasaidia, mfano mwanaume unajua kabisa huna malengo na huyo mdada wa watu basi muache mapema na siyo kumlaghai hadi kufanya naye mapenzi bila kinga , then katoto kakiingia unaruka viunzi, starehe ya wote lawama kwa mmoja hapana.

Hivi wadada tukiamua kukaza kwamba ukitaka tunda , hadi twende kwa wazazi wakujue unayemendea tunda la mtoto wao, hali ingekuaje.?(just thinking out loud)
Tatizo siyo kwenda kwa wazazi tatizo je, tumekubaliana kuzaa. Shida yenu mnatuambiaga mwagia ndani nitalea mwenyewe tukikataa mnatuona hamnazo na kutuweka vibarazani .
 
Tatizo siyo kwenda kwa wazazi tatizo je, tumekubaliana kuzaa. Shida yenu mnatuambiaga mwagia ndani nitalea mwenyewe tukikataa mnatuona hamnazo na kutuweka vibarazani .
Hivi kweli unakubaliana na kauli ya kulea mwenyewe, Mtoto wenu wote then alee mwenyewe why? Na unaamini kabisa na unamwaga kweli ndani? Bora kuwekwa vibarazani tu mkuu
 
Back
Top Bottom