covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana.
Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui Hindus na nyingine, yaani hazinivutii kabisa!
Ebu nipeni ushauri, ni mimi ndio napotea shetani amenitawala au nipo sahihi niendelee kushikilia bomba?