Kiukweli kwa tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana.
Ila kwangu nimekuwa nikijiforce sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui Hindus na nyingine yaani
Hazinivutii kabisa
Ebu nipeni ushauri ni mimi ndio napotea sheitwani amenitawala au nipo sahihi niendelee kushikilia bombaa..