King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,053
Wewe humpendi huyo jamaa. Umeongea kwa chuki sana.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kwani mapenzi haya ni uchafuUnajisifia uchafu..!
Hapana siwazi kupungua nadhani kutakuwa na ziada ya kuonjaTuna watoto wawili na Dada yupo,na shemeji kaja kurudia mtihani..... vipi unawaza mboga itapungua??
Hii ndo tabia ya kukemewa sasa ila sio ile ya mtu kwenda kwenye jiko la nyumba yako mwenyewe. Unaenda kumsabahi mwandani wako jikoni halafu amaindi bila shaka atakuwa na utindio wa ubongo kama mtoa mada.Kuna wengine wanaingiaga kwenye migahawa hii ya mitaani.
Wanaenda moja kwa moja jikoni na kuanza chagua nyama kama atakuwa ameagiza supu.
Atachukua mwiko na kuanza mwambia mama lishe nipe nyama hii huku anakaguachagua chagua.
Tabia hii nayo ni kero sana
We ndio kajanja sasaNavyopenda uwepo wa mwanaume wangu jikoni Mimi Jamani..
Yani sii ile muda wote..aje kidogo mara kiss za hapa na pale..kushtuliwa kidogo na vibao kunako wowowo..mara vikumbato vya nyuma na tumaneno tutam tam😍..
kijiko kinazimwa kidogo kinapigwa kimoja Cha chap chap😋😋..Yani Ili mradi taflani...Naenjoy uwepo wake kunako jiko tena mnooo
Wanawake ni wapuuzi kweliMwingine alisema jitu unalipikia limekaa huko sebuleni hata kuja jikoni kukushika tako haliji akamalizia kwa kusema "kwani mimi dadaako" KUWAELEWA WANAWAKE WANATAKA NINI NI KAZI SANA🤣🤣🤣🤣
Una nyumba kwani?😂 au ni hilo getoMi nachukia wanaume wanaopenda kwenda kwenyw nyumba za wanawake
Hata kama ni geto shida wapi?Una nyumba kwani?[emoji23] au ni hilo geto
Wanawake mko tofauti aiseeee mke wangu ndo anapenda Sasa tukae wote jikoni huku akinipa stori mbili tatu, yaani kiufupi nke wangu anapenda sana Ile ameomba umsogezee mwiko au upawa ambao uko mbali kidogo hiyo ndio furaha yake hapend et yeye anapika jikoni Mimi naangalia tv, hata tv yenyewe anapenda tuangalie wote hahaha mko tofautiYaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.