Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
What if am food scientist? What if am food nutrionist? What if I wanna enhance ur knowledge and cook in way that utanibamba? Take it positive mwambie akija jikoni unakosa comfort so kama kuna maelezo akupe kabla au aandike kwa karatasi then yeye afanye tathmini later. Get married to a friend, a lover na sio kidampa cha kukupa lift nyakati za shida
 
😂😂😂😂Binadamu tuko tofauti.. anakuudhi nini sasa?Mimi nafurahi tu nachukua kipande cha nyama naonja na ye ye lazima atasema aaaah nipe na mimi!namzinguazingua Ila Nampa vipande viwili tunaendelea na story... nakuwa nimejipatia kampani
 
Hivi hao wanaume wa hivyo hua mnawaokotea wapi...??
Mimi wife hua anakaa sebleni anasubiri nipike na nikimaliza nampakulia na kumpeleka chakula mahali alipo kaa...😋
 
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
eeee!!! shoga ili umroge vizuri!!! manake wengine mnasahuga na dawa mlizo rogea hapo hapohapo!...na wengine wamechanjia akikanyaga kizingiti cha jikoni tu limbwata loote kwishne!! hasa wakinga na wajita!......utamuhonga weye!! lkn siyo yeye!

kadri unavo roga weye ndo utampenda! cha msingi ukiwa unapika usivae kufuri ndo dawa yake!
 
😂😂😂😂Binadamu tuko tofauti.. anakuudhi nini sasa?Mimi nafurahi tu nachukua kipande cha nyama naonja na ye ye lazima atasema aaaah nipe na mimi!namzinguazingua Ila Nampa vipande viwili tunaendelea na story... nakuwa nimejipatia kampani
Nimekupenda bure! yaani!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binadamu tuko tofauti.. anakuudhi nini sasa?Mimi nafurahi tu nachukua kipande cha nyama naonja na ye ye lazima atasema aaaah nipe na mimi!namzinguazingua Ila Nampa vipande viwili tunaendelea na story... nakuwa nimejipatia kampani
Hapo mnakuwa bado ni 2 members family au
 
Mnisikilize wanaume wooote humu!! ukiona mkeo anachukia haya kuwa makini na.....

Bafuni!
Chooni!...
Jikoni!
Ofisini!
Maji bombani alfajiri! kuwahi chota jamani mwee!
jamani narudia hii Sebureni!! hasa wkt wa kuangalia taarifa ya habari ile nzito ya mida imeenda Mwee!! makochi yale ya sebureni yana mengi! hayasemagi tu! ... kabla sijasahau kuna kingine
Karo la kuoshea vyombo!!...hapa ukichunguza hasa wanakuwaga hawana kufuri!

Hizi sehemu kwetu akina dada ni fursa adimu na ngumu sana kwenu!...hata mkija kuhisi au kujua hamta amini macho yenu! ......na kuna wengine humu ni wanachama wa jambo hili!! ila ahawataki kusema!
 
Malalamiko yako ni kwa mumeo au msururu wa wanaume uliowahi kuishi nao? Maana ni kama unaongelea WINGI
 
Huyu mleta mada kwanza atakuwa ni chibonge halafu kaweka kibubu chake huko jikoni na ukiangalia vizuri atakuwa na sumu ya kitochi ameficha huko kuongea na ma-jimama kujazana ujinga. Yaani jikoni kuingia mpaka niombe ruhusa kama naingia kwa mkurugenzi wa halimashauri?
 
Mie huwa napenda tena naweka na kiti tunapiga story huku anapika! sometime napandisha huko huko kimoja unakula cha fasta! we ulie nae humpendi tu!
 
eeee!!! shoga ili umroge vizuri!!! manake wengine mnasahuga na dawa mlizo rogea hapo hapohapo!...na wengine wamechanjia akikanyaga kizingiti cha jikoni tu limbwata loote kwishne!! hasa wakinga na wajita!......utamuhonga weye!! lkn siyo yeye!

kadri unavo roga weye ndo utampenda! cha msingi ukiwa unapika usivae kufuri ndo dawa yake!
Ha haaaaa hiyo ya kutovaa kufuli nilikuwa sijui!inafanya kazi kweli?mi huwa nadhani ni msemo tu kwamba chakula kitamu mpishi hakuvaa chupi.
 
Back
Top Bottom