Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Nakupa talaka moja kwa kosa la utovu wa nidhamu kwa kunianika huku. Zoezi hili litakamilika mara moja leo hii baada ya mimi kurudi.
 
Navyopenda uwepo wa mwanaume wangu jikoni Mimi Jamani..

Yani sii ile muda wote..aje kidogo mara kiss za hapa na pale..kushtuliwa kidogo na vibao kunako wowowo..mara vikumbato vya nyuma na tumaneno tutam tam[emoji7]..

kijiko kinazimwa kidogo kinapigwa kimoja Cha chap chap[emoji39][emoji39]..Yani Ili mradi taflani...Naenjoy uwepo wake kunako jiko tena mnooo
Nimekupa "like" Tano pls
 
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.

Mosi, haujiamini. Kumaanisha Kupika hujui au umejifunza ukubwani.

Pili, Humpendi.

Majibu yote mawili ni Kweli. Usiniulize nimejuaje.
 
Muda mwingine watu wanacomplicate maisha.Akiingia jikoni unapungukiwa nini.Kodi alipe yeye na pakuingia napo unampangia mashart kila kona hadi chumbani.Akienda kwa mchepuko huko yupo nae jikoni akija kwako anakukodolea tu macho

Niamini hajui Kupika.

Pili, hampendi.

Niamini Mkuu.

Mwanamke anayekupenda anavyofurahia uwe naye sehemu Kama hizo huku akikuonjesha vikaroti mkisaidizana kukata vitunguu
 
Mwanamke mswahili kweli huyu.Modern living jiko ,ukumbini ,dining ni space moja/havijatenganishwa na kuta. Mke anetengeza chakula anatazama Tv , mnapiga story ,pembeni watoto wanafanya homework.
 
Navyopenda uwepo wa mwanaume wangu jikoni Mimi Jamani..

Yani sii ile muda wote..aje kidogo mara kiss za hapa na pale..kushtuliwa kidogo na vibao kunako wowowo..mara vikumbato vya nyuma na tumaneno tutam tam😍..

kijiko kinazimwa kidogo kinapigwa kimoja Cha chap chap😋😋..Yani Ili mradi taflani...Naenjoy uwepo wake kunako jiko tena mnooo

Amin

Mtoa mada Hajui Kupika, hajiamini.

Pili, ameolewa au aniashi na Mwanaume asiyempenda ndio mana anamuona Kero.

Hawa ndio Wale wanawake wanatamani uchelewe Kurudi kazini au usirudi nyumbani kabisa
 
Kuna wengine wanaingiaga kwenye migahawa hii ya mitaani.

Wanaenda moja kwa moja jikoni na kuanza chagua nyama kama atakuwa ameagiza supu.

Atachukua mwiko na kuanza mwambia mama lishe nipe nyama hii huku anakaguachagua chagua.

Tabia hii nayo ni kero sana
Basi kama ndio hao wapigwe tu
 
Kuna wengine wanaingiaga kwenye migahawa hii ya mitaani.

Wanaenda moja kwa moja jikoni na kuanza chagua nyama kama atakuwa ameagiza supu.

Atachukua mwiko na kuanza mwambia mama lishe nipe nyama hii huku anakaguachagua chagua.

Tabia hii nayo ni kero sana
Mwanaume kama huyo nikiishi nae nampa ngumi za kutosha
 
Wanawake wengine wezi wa vipande vya Nyama....
Bora hata awe mwizi wa nyama ila type hii ni wale wanaoweka uchafu waliopewa na waganga wao wa kienyeji kwenye misosi, ndio maana anakua mkali kwelikweli mwanaume anapoingia jikoni.
 
Back
Top Bottom