Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Kwan hilo jiko unakuta lipo ndan ya nyumba aliyojenga au lipo kwenu mkuu?yaan unipangie sehm ambayo sitakiwi kufika na nyumba nimejenga mimi?hakuna fairness hapo
 
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.

mama D nini maoni yako?

Mimi binafsi naona hayo ni mapenzi, rahaaaa akija jikoni unampa supu kidogo, kipande cha nyama, karoti....

Baba chanja wangu huwa ananisaidia siku chache kila mwezi sasa nakerekaje akinifuata ninapopika mimi
 
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Ha ha unamuwekea mtu ndumba?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mpe zamu au anapenda kumfatilia Sana Eminem Mana Beyonce alipata tabu ,akiwa anapika jikoni anapelekewa, akiinama kidogo aoshe vyombo kosa ujuavyo akaona mapenz gani haya ngoja nikimbilie kwa funza ukipenda jigar

Naona unapindisha mwambie aachane na madawa ya kwa Dr kalufumo (babu)
 
Huwa tunakuja kuchukua ujuzi namna ya kupika hata tukiachana tusisumbuke kwa mama ntilie
 
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Pengine anakuja kuangalia umekaeje, maana wanawake wengi jikoni huwa wanajikalia kiwetewete huku mtama wa mama ukiliwa na ndege!
 
Back
Top Bottom