Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

Hiyo Hali ninl kawaida sio tu serikalini hata kwenye private institutions, muhimu
1. Usipige stori zozote na wafanyakazi wenzio, wewe uwe msikilizaji tu.
2. Usihoji masuala ya pesa kwenye vikao.
3. Mwoneshe kama hujali na huumii kwa mahusiano yenu mbaya. Japo unaumia kwa ndani.
4. Mwendee nyumbani kwake, omba uende kwake. Jioni akiwa ametulia. Mweleze kuwa mahusiano yenu sio mazuri, muyaweke Sawa
5. Usifanye KAZI zake, Fanya zile zilizo kwenye job descriptions zako tu.

Kuna mengi. Ila muda haunitoshi
Usifanye KAZI zake, Fanya zile zilizo kwenye job descriptions zako tu.
 
Ni kwamba hamna sababu, it's just happen to be like that
Una mungu anakulinda ambaye anaharibu mambo yake sasa ukijichanganya kwenda kwa mganga nndo umejikamatisha na utaharibikiwa ambayo hujawahi ona
( Naongea kwa uzoefu niliopitia kama wako mwisho wa siku alishndwa kuvumilia akaropoka naharibu mambo yake SALI SANA/DUA)
 
Rule za ofisini/sehemu upatayo riziki
1: hakuna anaekupenda daima jua hivyo waliowengi wapo kwa ajili ya kujua maisha yako ililikitokea llte wapate pakukupata.
2.Limit what you have kwao kuvijua if possible hata familia yako Wasiijue.
3. Chapa kazi mpk wafitini waone aibu muda wako ukiisha sepa home, don’t talk too much bali waonyeshe kwa vitendo.
4.wekeza nje ya kazi means kipato chako kiwe mtaji wa maisha mengine nje ya kazi maana yake ufanye kazi km ndio cku yako ya mwisho.
 
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.

Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.

Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.

Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.

Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.

Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.

Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Inaonekana una jeuri sana!! Some time jifunze kunyenyekea inapobidi ili uende sawa na mabosi. Unyenyekevu ni siraha kubwa sana makazini kwetu, sema vijana wa sasa hivi tunaona kujishusha dhalau"umimi mwingi"

By the way! Unapofika kazini timiza wajibu wako ipasavyo hayo mambo mengine ya kuchukiwa au kupendwa mwachie mwenyewe atajijua huko na mungu wake
 
Kaa nae face to face, kisha mchane
IMG-20240411-WA0031.jpg
 
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.

Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.

Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.

Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.

Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.

Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.

Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.

Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.

Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.

Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.

Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.

Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.

Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Fanya kazi angalia maisha yako, acha kumfikiria atajiona fala
 
Mwambie mungu ampe adhabu kali yeyote anaekuchukia bila sababu za msingi utaona boss wako atakavyochezea bakora za kutosha kutoka kwa mungu.
 
Pole vita hiyo huwa sio rahisi. Usilogwe uende Kwa waganga utapoteza msaada wa Mungu. Utasota sana. Relax, endelea na kazi . Focus kwenye kuongeza ujuzi na ustadi. Punguza kujitetea na chagua kubaki kimyaa kwenye vikao. Ni nyota Yako inatafutwa kuzimwa. Ukivuka hapo Kuna daraja utapanda.
 
Napokea maneno haya ya Faraja na nitayafanyia kazi
 
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.

Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.

Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.

Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.

Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.

Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.

Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Ukiona hujafukuzwa kazi baada ya hiyo miaka mingi ujue watu wanampuuza huyo bosi na wewe mpuuze chapa kazi.
 
Hao mabosi mara nyingi huwa ni WACHAWI KONKI / MATRIX ROBOTS / MATRIX HOLOGRAMS na kuna kitu kikubwa amekiona au amekihisi kutoka kwako kinamtaabisha.

Mimi nilienda mahali yule bosi akawa hajiamini muda wote, anafoka kama nguruwe anasema NIMETUMWA KUMPELELEZA NA KUMFANYIA UMAFIA.

Kumbe mie walaa, na komwe langu lililojaa unyenyekevu mkubwa sikumjibu, nikawa namuangalia tu anavyohaha nikasema HIIIIIIIIIIIIIII.....

CC Lamomy Extrovert fundi bishoo DR Mambo Jambo cocastic mshamba_hachekwi dronedrake adriz Mufti kuku The Infinity
 
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.

Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.

Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.

Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.

Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.

Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.

Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Maboss wanapenda kunyenyekewa, kujipendekeza kwao na uchawa. Fanya hivyo
Baada ya kusoma na kuhitimu chuo na kupata kazi, huwa bado kuna kipengele kingine tena, cha kumchekea chekea Boss.
 
Back
Top Bottom