mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
- Thread starter
-
- #21
Ni kwamba hamna sababu, it's just happen to be like thatPole mkuu . Ungejua anakuchukia kwa sababu gani pengine ungerekebisha hapo.
Au mtembelee Muulize namna gani unafanya kazi na namna gani unataka msaada zaidi
Usifanye KAZI zake, Fanya zile zilizo kwenye job descriptions zako tu.Hiyo Hali ninl kawaida sio tu serikalini hata kwenye private institutions, muhimu
1. Usipige stori zozote na wafanyakazi wenzio, wewe uwe msikilizaji tu.
2. Usihoji masuala ya pesa kwenye vikao.
3. Mwoneshe kama hujali na huumii kwa mahusiano yenu mbaya. Japo unaumia kwa ndani.
4. Mwendee nyumbani kwake, omba uende kwake. Jioni akiwa ametulia. Mweleze kuwa mahusiano yenu sio mazuri, muyaweke Sawa
5. Usifanye KAZI zake, Fanya zile zilizo kwenye job descriptions zako tu.
Kuna mengi. Ila muda haunitoshi
Una mungu anakulinda ambaye anaharibu mambo yake sasa ukijichanganya kwenda kwa mganga nndo umejikamatisha na utaharibikiwa ambayo hujawahi onaNi kwamba hamna sababu, it's just happen to be like that
Inaonekana una jeuri sana!! Some time jifunze kunyenyekea inapobidi ili uende sawa na mabosi. Unyenyekevu ni siraha kubwa sana makazini kwetu, sema vijana wa sasa hivi tunaona kujishusha dhalau"umimi mwingi"Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.
Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.
Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.
Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.
Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.
Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Kaa nae face to face, kisha mchane
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.
Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.
Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.
Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.
Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.
Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Fanya kazi angalia maisha yako, acha kumfikiria atajiona falaToka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.
Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.
Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.
Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.
Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.
Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Mwambie mungu ampe adhabu kali yeyote anaekuchukia bila sababu za msingi utaona boss wako atakavyochezea bakora za kutosha kutoka kwa mungu.Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.
Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.
Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.
Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.
Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.
Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Napokea maneno haya ya Faraja na nitayafanyia kaziPole vita hiyo huwa sio rahisi. Usilogwe uende Kwa waganga utapoteza msaada wa Mungu. Utasota sana. Relax, endelea na kazi . Focus kwenye kuongeza ujuzi na ustadi. Punguza kujitetea na chagua kubaki kimyaa kwenye vikao. Ni nyota Yako inatafutwa kuzimwa. Ukivuka hapo Kuna daraja utapanda.
Ukiona hujafukuzwa kazi baada ya hiyo miaka mingi ujue watu wanampuuza huyo bosi na wewe mpuuze chapa kazi.Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi kuhusu Mimi kwenye vikao vyao vya juu, amekuwa akinisigina na kuongea uongo mwingi unaniathiri ninaposikia maneno hayo Kwa watu.
Watu wengi ofisini hawapendi bosi huyo, Kwa maana ni mtu wa kutunga maneno na uzushi mwingi. Chuki zake sizielewi kwasababu sina vigezo au utishiaji wa aina yoyote ya kuchukua cheo chake. Bosi huyu amekuwa akifurahi Kuona Mimi nikiwa na matatizo na kuteseka.
Na Sasa nimeamini huku maofisini Huwa Kuna unafiki mwingi, majungu mengi, bila sababu, mtu unaweza kuwa umekaa unajifanyia zako kazi zako, ila bado mtu akakuchukia na Ili Hali kakuzidi Kila kitu, pesa, cheo, mke Bora.
Nimegundua pia huku ofisini Kuna watu wanapenda kunyeyekea mabosi na kujipendekeza pasipo na sababu, lakini Kuna chuki nyingi na fitina katika maofisi yawe ya umma au binafsi.
Kiuhalisia imefika mahali Sasa, nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi.
Na Mimi ni Sala zangu huyo boss abadilike ,lakini ni mtu asiyekubalika hata na baadhi ya watu wanapenda Haki.
Ukiona hivyo....elewa una kitu cha pekee kumzidi na yeye anajua....kila kitu ki rohoni....Yaani hii maada utadhani nimeanzisha mimi yaani point zote mulemule kasoro hiyo ya kwenda kuloga ila uzuri me wangu anakaribia kustaafu hivyo siwazi sana je we wako ana muda gani astafu
HahahahaaInaweza kuwa matunguli yako yana nguvu zaidi kuliko yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri kwenye vikao vya pombe mjoin kunywa lewa chakari kisha mchane yote unayotaka kumchana halafu kesho isingizie pombe.
Huko kwa waganga utaliwa pesa utamani kumroga na mganga
Maboss wanapenda kunyenyekewa, kujipendekeza kwao na uchawa. Fanya hivyoToka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.