toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,139
- 2,223
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia
Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama sehemu ya kutafuta Attention kuonekana ni vijana wakombozi uchwara uhaba harakati uchwara
Mbaya zaidi wanatumia maneno ya dharau na kejeli kwa Rais , Huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumdharau kiasi hicho ni kuondoa Dhahiri hakuna nidhamu na umeiidharau taasisi ya URais
Kila siku wanamtaja Rais hovyo hivyo tu
Rais kasema gharama za matibabu yote atagharamia yeye na kutoa kiasi cha million 35 bado tena mnaanza kumkashifu na kumtukana mnataka nini ? Rais ana mambo mengi ya kufanya anawasaidizi wake wanampa taarifa hawezi kila tukio akatoka hadharani na kukemea ilihali vyombo vya usalama vinajidhihirisha tukio hilo, askari kutoka vitengo mbalimbali wanaenda kumhoji huyo kijana asiye hata na adabu alietukana kwa matusi viongozi huko twitter vijana uchwara wanamkataza asitoe ushirikiano kwa polisi sasa mnataka nini? Askari wakiondoka mje mseme hakupata ushirikiano?
Jeshi la polisi lina idara zake zilizobebea katika masuala ya uchunguzi kwanini mnakataa?
Leo mnalichukua tukio la Uyo kijana kama sehemu ya kumtukana Rais?
Nimekasirishwa Sana, Jeshini mnafundishwa nini? Nyumbani kwenu mnafundishwa nini?
Ni aibu mzazi wa kijana Uyo yupo kijijini anapata taarifa mtoto wake haonekani kapatikana makosa wanayohisi watafanya ni kutukana viongozi kwa matusi mtandaoni.
Vijana mmekuja mjini kuwa wanaharakati? Kutukana watu?
Huwezi kutoa maoni au mapendekezo had uhusishe matusi katika maneno yako tena kwa kiongozi..
Time will tell