Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Kuna dogo ana itwa juma huwa ana muita baba ake au mama ake (baba juma, mama juma ) becouse toka yupo mdogo ame lelewa na bibi so haelewi
Madhara yake unaona sasa?
 
Yaani umpelekee mama ako mjukuu, amtawaze, ampikie, amuogeshe na amfulie kama ulivofanyiwa wewe?

Huyo mama ana dhambi gani kwa hiyo adhabu kwa mfano?
Watu wanajisahaulisha kisa mama hana nguvh za kutafuta pesa tena
 
Zanzibar watoto % 99 wana lelewa upande wa Mama na vijana wengi wao awajui na awajawahi kulelewa na Wazazi wawili yani kule Malezi yao kama ya mifugo Kuku au ndege jinsi wanavyolea watoto ndiyo Wazanzibar ndivyo waleavyo watoto.
Na ndio maana watoto wao wameharibika
 
Mm naona inategemea na Hali na mazingira ya Mtu mfano kazi kama dereva MDA wote upo barabarani watoto ukiacha nyumbani Unaona mazingira hayaruhusu Bora upeleke sehemu salama kwako....

Ukisema hivo kumbuka wapo wazazi wanakaa na watoto wao, ila masaa yote wapo bize na hivo watoto hubaki na wadada WA kazi kwahio Mtoto anazoea tabia za dada WA kazi ...

Pia Kuna watoto wanaishi boarding ni hivo hivo la msingi mm naloona Mtoto hata akae kokote mzazi hakikisha Unapata MDA WA kukaa na watoto wako uwashape
 
Ndio umpeleke mtoto wa mwaka mmoja?
 
Sitalea mjukuu kwa kuishi nae wakati wazazi wao wapo. Haitatokea. Maana mimi nimelea watoto wangu mwenyewe na nimeshajichokea sihitaji mzigo wa mtu
Sasa binti wako akizaa bila ndoa na hana kazi ya kueleweka na akaamua kukuletea mjuu ukaenae kwa muda ili yeye ajipange utakataa kuishi nae?
 
mkuu watoto si lazima uwe na ndoa, watoto tunao na ndoa hatuna
 
Sasa binti wako akizaa bila ndoa na hana kazi ya kueleweka na akaamua kukuletea mjuu ukaenae kwa muda ili yeye ajipange utakataa kuishi nae?
Huo ni ujinga alijipangaje kuzaa?
 
Sitalea mjukuu kwa kuishi nae wakati wazazi wao wapo. Haitatokea. Maana mimi nimelea watoto wangu mwenyewe na nimeshajichokea sihitaji mzigo wa mtu
unasema tu tena wewe ndio utaomba aletwe umlee
 
Kuna mitaa mfano Sinza,Mbadala yaani kumuacha Mtoto mdogo home bila usimamizi kupata kesi za Mtoto kawa Malaya,mpenda singeli n.k usishangae Maana matukio ya hovyo ni meeng kwl
Ndio maana wenzenu wanachukua wadogo zao waliomaliza shule kwenda kuwasaidia wana watoa kwao uko ukiona dada wakazi umuamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…