Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Uko sahihi mkuu,Mimi nilipitia hayo,nilimpenda Bibi yangu kuliko mama yangu, maana Bibi alinijali sana!
 
Bibi wanakutana na mengi sana
Sio watoto wa ndoa tu, kuna wengine wamewaficha huko na kujifanya hawajawahi kuzaa.
Na hutakuja kugundua kama mlikutana ukubwani na hamjuani mnakotoka

Mnaishi miaka hata ubini wa babu yake huujui
Kweli kuwapa mzigo wazee ni dharau sana kwao
Halafu unakuta hata matumizi ya maana hawatumi na kujifanya wapo busy na maisha.

Maisha ya kimasikini sana hayo
 
Wanendekeza ujinga sana mimi hili swala sikubalian nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…